inapangishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Fremu inapangishwa

    habari. kuna fremu inapangishwa maeneo ya bunju A barabaran awali ulikuwa inatumika kama maabara kwa sasa inapangiswa inahitaji 270 kwa mwezi na kodi ni meiz 6. ina luku yake panoja na choo pia ina jumla ya vyjmba vyumba 3. kazi kwenu wapambanaji inbox me plz
  2. chuma jr

    Ofisi inapangishwa

    Habari zenu wanajamvi nimekuja jukwaani kutangaza nafasi kama wewe ni muwekezaji au mfanyabiashara ofisi ipo na kila kitu ni ofisi ya uwakala wewe njoo na mtaji wako na kodi ya miez 6 ikipungua hata miezi 4 sio mbaya kila mwezi ni 70k ukifika nakupatia Laini zote za simu kasoro simu labda...
  3. politicians

    Napangisha nyumba na vyumba maeneo mbalimbali nchini

    Habari, nyumba inapangishwa mwanza maeneo ya Butimba mtaa wa Amani,ina chumba kimoja na sebule, maji na umeme ni Tsh.60000/= kwa mwezi. Yaani kwa miezi sita ni Tsh 360000/= tu. Ipo ndani ya fensi usalama upo wa kutosha, mawasiliano tuma txt au piga 0687234549.
  4. F

    House4Rent 2 bedroom house inapangishwa Tabata Kisukulu (Maji Chumvi) karibu na Ubungo External 250,000

    Habari wadau. Appartment ya vyumba viwili vya kulala. Sebule jiko na choo inapangishwa maeneo ya tabata kisukulu. Ni 3km ukitokea Mandela Road EPZA ama TFDA office ubungo external. 1. Nyumba ipo ndani ya fence na kuna geti. Parking ipo ya gari ndogo 2. Umeme na maji inajitegemea 3. Vyumba...
  5. Jemima Mrembo

    Biashara inapangishwa, lipia na uanze kuingiza maokoto

    I have two houses in a compound with one big house and a guest wing ambayo naifanya hostel na ni fully furnished.....Napangisha. Iko opposite na LANDMARK HOTEL na DELTA APARTMENTS Main house 3/4 bedrooms. Two master and two normal Small house 2 bedrooms, 2 kitchens, Big house 3 bathrooms...
  6. Twilumba

    Inapangishwa: Nyumba (Self-contained) ipo Kitunda Kivule Matembele ya 2

    Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76 Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000 ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master Pia ina; Sitting room (Kubwa) Dining Room Jiko kubwa Stoo kubwa Ina eneo kubwa la wazi Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA Mpangaji ataweza kufanya...
  7. Dalali Anko

    House4Rent Nyumba inapangishwa, Mbezi Beach

    Mahali: Mbezibeach Tangibovu Bei: Tshs 180,000 Kwa Mwezi Chumba masta Sebule Jiko nje. Ina fensi na geti, Parking, Umbali wa kutembea hadi kutuoni, maji dawasa yapo ndani. Maelezo zaidi : 0716442950
  8. Kakakuona

    Plot4Sale Tunauza viwanja katika maeneo mbalimbali

    Ukubwa wa kiwanja: 650 Sqm. Eneo: Goba Kulangwa, barabara mpya ya lami ya Kuelekea Madale. Bei: Tshs 25,000,000 (Milioni 25) Kina hati ya wizara. Contact : 0742141467
  9. D

    Napangisha nyumba maendeo mbalimbali Dar

    Vyumba vinapangishwa vyumba vipo viwili master pamoja na sebule bei 250k ni chumba cha kisasa kabisaa vyumba eneo lake lipo mbezi beach tangibovu ni dakika 20 au 15 kwa kutembea kutoka stendi nicheki kupitia 0658820041
  10. keikiu

    Chumba kikubwa ambacho kina Choo ndani pamoja na sebule yake kinapangishwa

    CHUMBA, SEBULE PAMOJA NA CHOO CHA NDANI KINAPANGISHWA Chumba kikubwa ambacho kina Choo ndani pamoja na sebule yake kinapangishwa. Kinapatikana Mbezi Mwisho karibu na stendi ya Magufuli, maeneo ya mtaa wa Muhimbili. Hatuna dalali, fika kagua nyumba, lipia. *Kodi ni 120,000 kwa mwezi. Kwa...
  11. Mributz

    Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuwa anapangisha jumba lake la kifahari kwa takribani Tsh. 25,726,140 kwa mwezi

    Nyota wa klabu ya Alnassr na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuwa anakodisha/pangisha jumba lake la Kifahari lililopo katika jiji la Madrid nchini Unispania kwa euro 10,000 tu (takriban $10,980) sawa na Tsh. 25,726,140/= ( Milioni 25 za Kitanzania ) kwa mwezi! Jumba hilo...
  12. uberimae fidei

    Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    *ENEO LINAUZWA* Eneo lenye ukubwa wa *ekari ishirini* linauzwa *Pingo, Chalinze*. Eneo linapakana na *Chuo cha Ualimu Chalinze* kwa mbele na kwa upande wa kulia ni *kiwanda kipya cha vigae cha Twyford* kinachojengwa hapo Pingo.Kama ambavyo baadhi watakuwa wanajua, kiwanda cha vigae kitaajiri...
  13. V

    House4Rent Nyumba inapangishwa Kimara Temboni DSM

    Ina Chumba na Sebule na Jiko plus Choo Ipo karbu kabsa na Morogoro Road bei 120,000/= *Maji *Parking Space 0753595520
  14. Meneja Wa Makampuni

    House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti

    Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano (500,000 Tsh) maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti. Kinachopangishwa ni hiyo ghorofa ya juu. Ipo mtaa mzuri sana nyumba zimejipanga freshwi kabisa. Nyumba hiyo ina: 1. Vyumba vya kulala viwili vyote self contained. 2. Open...
  15. J

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  16. Meneja Wa Makampuni

    House4Rent Nyumba inapangishwa Tabata Shule laki mbili kwa mwezi

    Nyumba inapangishwa Tabata shule. Nyumba ipo ndani ya fensi ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, choo cha ndani, maji ya bomba. Kodi laki mbili kwa mwezi Call me 0747744895 Mnakaribishwa.
  17. Kitomai

    House4Rent Nyumba inapangishwa Tegeta Nyaishozi

    Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja Masta. Mahala pa kula. Kodi 500,000 kwa mwezi malipo miezi 6. Kuiona piga simu +255755312233
  18. dalalimhenga

    House4Rent Nyumba inapangishwa Bunju

    Mahali - Bunju A Kodi - Tshs 200,000 Maelezo Zaidi - 0742141467 Chumba masta, Sebule, Jiko. Umeme luku yake, Maji ya dawasa, Fensi, Parking, Karibu Na kituo cha daladala.
  19. dalalimhenga

    House4Rent Nyumba/apartment inapangishwa Goba

    Chumba Choo ndani ( Masta ), Sebule, Choo cha public ndani Na Jiko. Kodi kwa Mwezi ni Tshs 250,000 Mahali goba, kwa awadhi Umeme Submita yake, maji Dawasa, fensi geti, parking ipo. Maelezo zaidi - 0742141467
  20. dalalimhenga

    House4Rent Inapangishwa nyumba Goba inayopakana na mbezibeach

    Chumba Choo ndani ( Masta ), Sebule Na Jiko. Kodi kwa Mwezi ni Tshs 230,000 Mahali Goba ya Karibu Na Mbezibeach Mawasiliano 074214146
Back
Top Bottom