Plot4Sale Nahitaji Kiwanja DSM cha Sqm 800-900, location KIGAMBONI Dege, Geza, muongozo, mwembe mdogo, cheka au KINYEREZI, kisiwe mbali na Main road. Offer 13M

Kwa Kigamboni, kuwa makini usitapeliwe!
Kwa Dar es salaam sehemu pekee iliyobaki kwa usalama wa kununua viwanja ni kigamboni

Sehemu zingine kutapeliwa ni rahisi na ni ngumu kukuta eneo la 10acres wazi sehwmu tofaut na kigamboni ,hiyo ina maana kwamba watu wengi wameanza kununua maeneo juzi juzi tuu kigamboni
 
Back
Top Bottom