Yalikuwa yanajisifu ni ya kimataifa. Yamepigwa ndani nje sasa yamejificha kwenye dhuluma waliiofanyiwa Yanga

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,061
144,492
Habari ndio hio. Zile kelele kwamba mlikuwa mnacheza kombe la loser sasa hazipo na` zile kelele Yanga kimataifa hawawezi nazo hazipo. Yaani kwa miaka miwiliu wamefilisika kabisa kihoja.

Sasa wamejificha kwenye dhuluma waliofanyiwa Yanga huku wao wametiaa aibu kufungwa home and away.

Ni hawa hawa baada ya droo ndio waliona kama wameshafuzu huku wakidai wanawamudu AL A hyl kumbe aibu tupu.
 
Hii sio sawa, mashabiki wa Simba katika hili wameonesha umoja wa kitaifa kwa kulaani dhulma ya waziwazi tuliyofanyiwa Yanga dhidi ya Mamelody.

Tusiwadhihaki kwa matokeo yao, wamekuwa waungwana nasi tuwe waungwana.
 
Huo umoja dada umeona wapi? Wakati wamekiri wazi kabisa kuwa wamefurahia sana maamuzi ya waamuzi maana wangepigiwa kelele hivyo wamefurahi kufanana. Kuna wengine wamekiri ni goli ila wamefurahia maamuzi ya refa. Halafu kuna wengine hawataki kukubali ili tu ionekane Yanga wamestahili kutolewa kihalali kabisa.
 
Habari ndio hio. Zile kelele kwamba mlikuwa mnacheza kombe la loser sasa hazipo na` zile kelele Yanga kimataifa hawawezi nazo hazipo. Yaani kwa miaka miwiliu wamefilisika kabisa kihoja.

Sasa wamejificha kwenye dhuluma waliofanyiwa Yanga huku wao wametiaa aibu kufungwa home and away.

Ni hawa hawa baada ya droo ndio waliona kama wameshafuzu huku wakidai wanawamudu AL A hyl kumbe aibu tupu.
Du kweli kufa kiume kunauma na imeisha hiyo!,yaani Mwakarobo Jnr bado mnalalama angalieni msije pata ukichaa,wenzenu wazoefu hatupigi kelele kama ni kufa Kwa hatua ya matuta kwetu siyo geni tulitolewa na Bingwa mtetezi Wydad tena Kwa kumfunga Nyumbani kwetu siye nyie Semi-Finalist Mamelodi hamjaokota goli hata moja kazi mkadhani robo fainali ni kuchezewa robo uwanja na Mamelodi katika mechi zote mbili mkiwa na possession ya below 30% na accurate passes chini ya 100 halafu sijui Kwa uchezaji huo mnapata wapi uhalali legitimacy ya kulilia kupelekwa nusu Fainali kimazabe Kwa goli Feki
Sisi tunaenda kujipanga upya na nyie MALALAMIJO FC bakini mkisubiri majibu ya rufaa Feki mkija kushtuka hata mwakani Hatua ya Makundi hamtafika, Pathetic
 
Hii timu ya simba aka mbumbumbu aka makolo haina Jipya ni timu ya ajabu sana duniani, badala ya kujadili, kufikiria na kupanga mikakati mechi Yao mwezi mzima wamejadili mechi ya yanga v mamelodi matokeo yake ni kipigo ndani nje .

Ahmed Ali msemaji wao anaonekana Kwenye clip anacheza na kufurahi baada ya kuambiwa yanga imetolewa kwa figisu na zaidi zaidi anasema wacha tutolewe wote wakati timu yake ndiyo inaanza mchezo huku akiwadanganya mashabiki wake wanaenda kupindua meza.

Msimu uliopita Hersi akihutubia ikulu alisema Yanga itakuwa ya kwanza kuleta kombe au medali ya Caf champions league nikaona ni masihara.

Yanga hii wangekuwepo Pacome , Aucho , Yao mamelodi wangepigwa nje ndani esperance wangepigwa fainali ingekuja hivihivi mbele ya macho yetu na ukizingatia Al ahly alipata shida kumfunga yanga ikiwa kamili Mpaka wakamuumiza kiungo mkabaji Aucho ingekuwa fainali ya yoyote kushinda .
 
NDOTO ZA ALNACHA!
 
Hii sio sawa, mashabiki wa Simba katika hili wameonesha umoja wa kitaifa kwa kulaani dhulma ya waziwazi tuliyofanyiwa Yanga dhidi ya Mamelody.

Tusiwadhihaki kwa matokeo yao, wamekuwa waungwana nasi tuwe waungwana.
Labda hapo ulipo ndo umezungukwa na wastarabu siyo huku kwingine rafiki yangu.Watu walishangilia goli letu kukataliwa.
 
Hii sio sawa, mashabiki wa Simba katika hili wameonesha umoja wa kitaifa kwa kulaani dhulma ya waziwazi tuliyofanyiwa Yanga dhidi ya Mamelody.

Tusiwadhihaki kwa matokeo yao, wamekuwa waungwana nasi tuwe waungwana.
Don't take it serious, nayo hii ni katika utani wetu wa jadi, lakini message sent and delivered.
 
Habari ndio hio. Zile kelele kwamba mlikuwa mnacheza kombe la loser sasa hazipo na` zile kelele Yanga kimataifa hawawezi nazo hazipo. Yaani kwa miaka miwiliu wamefilisika kabisa kihoja.

Sasa wamejificha kwenye dhuluma waliofanyiwa Yanga huku wao wametiaa aibu kufungwa home and away.

Ni hawa hawa baada ya droo ndio waliona kama wameshafuzu huku wakidai wanawamudu AL A hyl kumbe aibu tupu.
Acha roho mbaya😎
 
Aaahaaaa

Wanakwambia bora tumetoka wote
 
Back
Top Bottom