Matapeli wenitapeli lak 1 niliagiza maharage ya njano kilo 50

stan john

Member
Feb 17, 2022
51
34
Nimetapeliwa laki 1 ,nilitoa tangazo nahitaji maharage ya njano , mwenye namba hii 0789242824 ajanitumia meseji inbox akanambia anamjua anayeuza maharage ya njano yupo kyela ,mbeya na akanipa namba yake ,akanambia ni muaminifu na niwe na amani ntapata maharage ya njano, akanitumia namba za anayueza maharage 0659158964

Nikawasiliana na anayeuza maharage (0659158964) Kwa njia ya meseji (sms) ,akanambia anauza maharage ya njano kilo 2000 ,nikamwambia nataka kilo 50 ,nikamtumia laki moja kwenye namba yake , baada kumtumia akanambia maharage yatafika kesho ,kesho ikafika akanambia mzigo wanashusha Moro , kesho yake Tena namtafututa na kumpigia simu hapokei inaita tu na Wala meseji hajibu mpaka sasa hajibu sms Wala nikimpigia hapokei

Facebook anatumia jina la ramsek na biashara
Namba anayotumia ni 0659158964
Kanitapeli pesa yangu ya mtaji wa biashara

Screenshot_20231205-161050.png
Screenshot_20231205-161427.png
Screenshot_20231207-175859.png
 
umekaa kabisa utumiwe maharage kwa kupiga simu tu,huyo bakhresa mwenyewe anatembelea mpk magodown yake aone yamefikia wapi, wewe ukae tu upige simu na laki yako, hata mimi japo si tapeli ningepita nayo tu.
 
Nimetapeliwa laki 1 ,nilitoa tangazo nahitaji maharage ya njano , mwenye namba hii 0789242824 ajanitumia meseji inbox akanambia anamjua anayeuza maharage ya njano yupo kyela ,mbeya na akanipa namba yake ,akanambia ni muaminifu na niwe na amani ntapata maharage ya njano, akanitumia namba za anayueza maharage 0659158964

Nikawasiliana na anayeuza maharage (0659158964) Kwa njia ya meseji (sms) ,akanambia anauza maharage ya njano kilo 2000 ,nikamwambia nataka kilo 50 ,nikamtumia laki moja kwenye namba yake , baada kumtumia akanambia maharage yatafika kesho ,kesho ikafika akanambia mzigo wanashusha Moro , kesho yake Tena namtafututa na kumpigia simu hapokei inaita tu na Wala meseji hajibu mpaka sasa hajibu sms Wala nikimpigia hapokei

Facebook anatumia jina la ramsek na biashara
Namba anayotumia ni 0659158964
Kanitapeli pesa yangu ya mtaji wa biashara
Kweli wajinga hawamaliziki.
Pumbafffff.
 
mtag aliyekupa namba
 
Tunaishi hapa duniani kwa kujifunza na kutokurudia yale makosa ambayo tuliyafanya huko nyuma.
Chukulia hiyo laki iliyopotea, kama ada ya mafunzo ya kujua uaminifu wa watu. Najua kwa sasa hivi umefuzu vizuri, kuhusu somo la uaminifu mitandaoni; piga kazi.
 
Back
Top Bottom