afungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intelligent businessman

    Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

    Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira. Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja. Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa. Pia soma Bobrisky , The famous and rich Gay in Nigeria Bobrisky Amwanika Boyfriend wake Billionare...
  2. Suley2019

    Jela miaka 20 kisa vipande 14 vya pofu

    Mahakama ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma imemuhukumu kifungo cha miaka 20 jela Kijana Mussa Ally Makandaje (32), Mkazi na Kijiji cha Msinjili Wilaya ya Tunduru baada ya kupatikana na hatia katika kosa la kukutwa na vipande 14 vya nyama ya mnyama aina ya pofu. Akisoma hukumu hiyo ya kesi ya...
  3. Lady Whistledown

    Kilimanjaro: Aliyekuwa Mhasibu Mapato Same afungwa jela Miaka 20 kwa Ubadhirifu

    Machi 19, 2024 shauri la uhujumu uchumi Na 23/2022 dhidi ya PAULO NGILORITI TEVELI limeamriwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same, mbele ya Mhe Hellen Hozza, likiendeshwa na wakili Suzan Kimaro. Mshtakiwa ambaye alikuwa Mhasibu wa Mapato wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, ametiwa hatiani na...
  4. Nyendo

    Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

    Mahakama ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imemtia hatiani Dickson Mbwilo (42), mkazi wa Kitelewasi na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumlawiti mke wake. Kulingana na maelezo ya mwanamke huyo mwenye umri wa miaka (32), mumewe alikuwa akimfanyia kitendo hicho pale anapokuwa...
  5. M

    Afungwa jela maisha kwa kumnajisi mtoto wa miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela Mwalimu Johnwell Mwamboya (38) mkazi wa Iyela jijini Mbeya baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miaka saba. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Tedy Mlimba mbele ya...
  6. BARD AI

    Rais Mstaafu wa Mauritania afungwa miaka 5 jela kwa makosa ya ufisadi

    Ni aliyewahi Mohamed Ould Abdel Aziz ambaye alikuwa Rais wa taifa hilo kati ya mwaka 2008 hadi 2019. Aziz amekutwa na hatia ya kujipatia mali kwa njia za haramu ikiwemo ubadhirifu. Mstaafu huyo pamoja na Viongozi wengine 10 wakiwemo waliowahi kuwa Mawaziri Wakuu walikuwa kwenye uchunguzi juu ya...
  7. BARD AI

    Afungwa miezi 6 kwa utapeli wa kutumia jina la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Bahati Malila kifungo cha miezi sita jela baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matano, yakiwamo kughushi cheti kilichoonyesha kuwa kimeletolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Pia Mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa Godfey Mtonyo baada ya upande wa...
  8. Bull Bucka

    Mkuranga, Pwani: Mwalimu afungwa kifungo cha maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa. Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
  9. Mwl.RCT

    Bodaboda atekwa, akatwa mikononi na miguu, afungwa kamba

    https://youtu.be/L0w57wSMol8 Credit: MillardAyo
  10. BARD AI

    Afungwa miaka 30 kwa kosa la kuingilia kinyume na maumbile

    Mahakama ya Mkoa wa Vuga, leo tarehe 31/10/2023 imemhukumu mshtakiwa MOH'D ALI HASSAN (35) Mkazi wa Jumbi Uwandani Unguja kutumikia kifungo cha miaka 30 Chuo cha Mafunzo (jela) kwa kosa la Kuingilia kinyume na maumbile. Awali mshtakiwa huyo alimuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike mwenye...
  11. BARD AI

    Afungwa miaka 10 kwa kumtupa Mtoto shimoni na kumuua ili asafiri kwenda Uarabuni

    Mahakama Kuu ya Mombasa imetoa hukumu hiyo dhidi ya Happy Mwenda Mumba baada ya kumkuta na hatia ya kumtupa Mtoto wake mwenye umeri wa mwaka mmoja kwenye shimo ili asipate kikwazo wakati wa kusafiri. Akisoma hukumu hiyo Jaji Anne Ong'injo amesema mshtakiwa anapaswa kuadhibiwa sio tu kwa lengo...
  12. BARD AI

    Mratibu wa Miss Rwanda afungwa jela miaka 5 kwa kuwaomba Rushwa ya Ngono washiriki

    Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 10 imepita tangu Dieudonne Ishimwe, mwanamuziki wa zamani maarufu kama Prince Kid, afutiwe mashtaka ya ubakaji na kuwaomba Rushwa ya Ngono Washiriki wa Shindano hilo. Disemba 2023, Hakimu alitoa hukumu ya awali dhidi ya Ishimwe inayoonesha hakuwa na hatia...
  13. MK254

    Afungwa miaka miwili kwa kutamka "Bismilallahi" huku akila nyama ya nguruwe

    Staa wa TikTok kutoka nchini Indonesia, Lina Mukherjee amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kutokana na video aliyo-post inayomuonesha akisema neno linalotumiwa na Waislamu la ‘Bismillah’ kabla ya kula nyama ya nguruwe, jambo ambalo limelaaniwa vikali nchini humo. Neno hilo hutumiwa na...
  14. Chachu Ombara

    Mgombea Urais wa Congo DR afungwa miaka saba jela kwa kumtusi Rais

    KINSHASA, Sept 13 (Reuters) - A high court in Democratic Republic of Congo has sentenced presidential candidate Jean-Marc Kabund to seven years in prison on 12 charges including spreading false rumours and insulting the head of state, his lawyer said on Wednesday. Kabund was a former vice...
  15. BARD AI

    Mufindi: Afungwa Jela miaka 20 kwa kukutwa na kilo 32 za nyama ya Tandala

    Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, imemhukumu Mbogo Tinda (45), Mkazi wa Kijiji cha Ihoanza Tarafa ya Malangali, wilayani hapa, kutumia kifungo cha miaka 20 gerezani, baada ya kumtia hatiani kwa makosa mawili. Makosa hayo ni lile la kukutwa na nyara za Serikali (nyama ya Tandala – Kudu, yenye uzito...
  16. BARD AI

    Dar: Afungwa Jela maisha kwa kumlawiti Mtoto

    Mahakama ya Mwanzo Kinondoni, imemhukumu Charles Deus, kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa chini ya miaka 16. Hukumu hiyo imesomwa na na Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kinondoni, Rahim Mushi, akisema mahakama imejiridhisha kuwa mshatakiwa amefanya kosa ilo...
  17. BARD AI

    Afungwa miaka 5 jela kwa kumkosoa Mfalme Mohammed VI

    Mahakama imetoa adhabu hiyo dhidi ya Saïd Boukioud aliyekosoa uamuzi wa Serikali ya Mfalme Mohammed VI wa kurejesha na kuimarisha uhusiano wa Kidiplomasia na Serikali ya Israeli. Boukioud alikutwa na hatia ya kuhujumu Utawala wa Kifalme kwa kumpinga Mfalme hadharani tena kwa kutumia Kifaa cha...
  18. BARD AI

    Afungwa Jela miaka 30 kwa kumbaka mfanyakazi wake wa ndani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mkazi wa Miembesaba mkoani humo, Otienal Ibrahimu (36), baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka mfanyakazi wake wa ndani mwenye umri wa miaka (15). Hukumu hiyo imetolewa Julai 31, 2023 na Hakimu Mkazi wa...
  19. BARD AI

    Mwenyekiti wa Kijiji afungwa Miaka 20 Jela kwa kuharibu Miundombinu ya Gesi

    Hukumu imetolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Mahumbika, Hamis Bandari baada ya kumkuta na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka. Hamisi na mwenzake Juma Kapilima, mkazi wa Liwale, walitenda kosa la kuharibu na kuuza miundombinu ya Kingo...
  20. BARD AI

    Wakili afungwa miaka 7 kwa kumuua Mpenzi wake

    Wakili wa Kujitegemea Steven Mduma (38) amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia Mpenzi wake aitwae Jackline Mwanjimbe. Hukumu hiyo imetolewa leo na Jaji John Nkwabi baada ya kupatikana...
Back
Top Bottom