Neno Amirati lililotaka kuwa mbadala wa Amiri Jeshi Mkuu Asili yake wapi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,357
Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5.

Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
 
Amir, meaning "prince," "commander," and "leader," is a male name of Arabic origin. For followers of Islam, Amir is a significant name that enjoys evergreen popularity across the globe. It
 
Yamebainika mengi sana leo , kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5 .

Tusirudie yaliyosemwa , bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu .
Neno la kiarabu;
Ona haya:
Alhaj....ke haijat
Ostadh...ke Ostadhat
Amir......ke Amirat
 
Limetokea Ufipa na kuasisiwa na Joyce Mukya baada ya kutaka kumpindua mwenyekiti wa Maisha wa CDM.
 
Waarabu wanabagua sana wanawake. Wajifunze kutoka nchi nyingine, wanawake wapewe vipaumbele katika jambo.

Nimesikia kuna baadhi ya nchi za kiarabu wanawake hawaruhusiwi hata kuendesha gari.

Sass kama hawaruhisiwi, sidhani kama wanaruhusiwa hata kushika nyazifa za kijeshi. Je iweje Amiri, neno la Kiarabu, kiwe na kinyume chake, Amirati?

Hata kwetu uchagani watoto wa kike hawapewi kipaumbele wala urithi. Hivyo nimeamua kuwa mmoja wa wale wanawapa watoto wote haki sawa. Awenwa kiume au wa kike, wote ni wanangu watapewa haki sawa. .
 
Alhaj -mwanaume
Hajat- mwanamke..
Amiri-mwanaume
Amirati -mwanamke...

Hata sasa Arab media zitamuita Samia Amirat huku Sisi tukimuita Amiri Jeshi mkuu...
 
Back
Top Bottom