Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

Ashampoo burning

JF-Expert Member
May 12, 2023
421
1,583
Nimeona wameongeza combi nyingi sana kwenye kwenye elimu ya advance jambo zuri ila lina ubaya wake pia

Niende kwenye mada nchi yetu sio ya kidini yaani haifungamani na dini yeyote ile sasa serikali kwanini imeweke masomo ya dini ya kiislam na kikristo kwenye mtaahala ni kurudisha nyuma taifa letu na kuleta mkanganyiko hizo elimu zitolewee miskitini na makanisani full stop visiweke kwenye mifumo rasimi ya kiserikali

Naandika haya najua madhara ya serikali kuanza kuweka vitu vya kidini kwenye mifumo rasmi ya serikali

Sasa mfano wakristo wana madhebu mengi mno walokole waroman wapentecoste ...haya waislam kuna shia kuna suni ....mtaafundishaje maana haya madhehebu huwa yanatofautiana kwenye mambo mbali mbali kama sio kuleta fujo na mikanganyiko

Hao walimu watalipwa na nani yaani serikali ilipe walimu wa dini kama kweli ndo tumefikia huku tena katika elimu ya advance watoto narudia wasome hizo elimu huko makanisani au misikitini na madrassa ....

Naamini raisi ajae ataliangalia hili labda huyu wa sasa kaona sawa.....tunaomba rais atakae kuja atoe haya madude sijui divinity/ukristo sijui islamic knowledge hayana umuhimu wa taifa ambalo liko nyuma kisayansi na kiteknlogy mnazidi kulipoteza taifa kuleta mambo imani kwenye ulimwengu wa elimu serious zinahitaji fact sio imani .... fact ni muhimu kuliko imani ndo maana wazungu wanatupita maana wanaamini katika fact sio imani......sasa sisi imani ndo tunataka kabisa iwe elimu rasmi ni uzwazwa...

TANZANIA SIO NCHI YA KIDINI NA HAIRUSIWA HATA KUONESHA DALILI HIZO NI HATARI MNO KUWEKA MASWALA YA DINI SERIKALI

Eti necta nao wako busy watunge mitihani sijui yesu alifanya nini mara sijui mtume alifanya nini ...

Tuiheshimu tanzania hasa tanganyika mambo ya dini hatutaki toeni....kama upande wa pili znz watapenda muwakeeni ila tanganyika haiwezi jengwa kamwe na mifumo hii mnayoleta TANGANYIKA TUNATAKA WATOTO WAWE BUSY NA ELIMU DUNIA ZAIDI.....

SIJUI MAKAMBA SIJUI MAKONDA SIJUI RIDHIWAN AU YEYOTE ATAYEKUJA KUWA RAIS BAADa ya mama samia atoe haya madini kwenye elimu rasmi hayana tija kwa taifa ... taifa linahitaji sana kuendelea upande wa elimu dunia...... sio elimu ahera

Jamii Picha.jpg
 
Wacha watoto wasome wanacho taka Dunia imebadirika,watafanya kazi katika bank zao(Islamic banking) 🤣🤣🤣🤣🪑💺🎶🎶😍
Sawa nimeandika maoni yangu kama msomi nisiyependa taifa letu liweke mambo imani ya ukristo au uislam kwenye mambo ya kiserikali ni hatari mno ... naamini watu wenye nia njema wameona hili ila hawana la kufanya....
 
Watu waliofilisika kifikra mambo haya wanadhani yatawapa mileage kisiasa..hawa hawa wanakusanya watoto kufanya uchaguzi kitaifa eti chipukizi.. vyama vyote vikifanya hivi watoto watasoma kweli?? Katiba inakataa mambo haya halafu wao wanafanya makusudi, utawaamini watu wa aina hii kwa jambo lipi!
 
Dini Zina mifumo yake ya elimu na Wana madrasa kwenye sehemu zao za ibada na ukumbi mkubwa( Kanisa, msikiti , hekalu) kwa ajili ya lecture za mafundisho Yao.Kama ni mitihani wapeane huko wenyewe na vyeti wapeane huko huko. Sule za Umma sizihusishwe na dini
 
View attachment 2940565Nimeona wameongeza combi nyingi sana kwenye kwenye elimu ya advance jambo zuri ila lina ubaya wake pia

Niende kwenye mada nchi yetu sio ya kidini yaani haifungamani na dini yeyote ile sasa serikali kwanini imeweke masomo ya dini ya kiislam na kikristo kwenye mtaahala ni kurudisha nyuma taifa letu na kuleta mkanganyiko hizo elimu zitolewee miskitini na makanisani full stop visiweke kwenye mifumo rasimi ya kiserikali

Naandika haya najua madhara ya serikali kuanza kuweka vitu vya kidini kwenye mifumo rasmi ya serikali

Sasa mfano wakristo wana madhebu mengi mno walokole waroman wapentecoste ...haya waislam kuna shia kuna suni ....mtaafundishaje maana haya madhehebu huwa yanatofautiana kwenye mambo mbali mbali kama sio kuleta fujo na mikanganyiko

Hao walimu watalipwa na nani yaani serikali ilipe walimu wa dini kama kweli ndo tumefikia huku tena katika elimu ya advance watoto narudia wasome hizo elimu huko makanisani au misikitini na madrassa ....

Naamini raisi ajae ataliangalia hili labda huyu wa sasa kaona sawa.....tunaomba rais atakae kuja atoe haya madude sijui divinity/ukristo sijui islamic knowledge hayana umuhimu wa taifa ambalo liko nyuma kisayansi na kiteknlogy mnazidi kulipoteza taifa kuleta mambo imani kwenye ulimwengu wa elimu serious zinahitaji fact sio imani .... fact ni muhimu kuliko imani ndo maana wazungu wanatupita maana wanaamini katika fact sio imani......sasa sisi imani ndo tunataka kabisa iwe elimu rasmi ni uzwazwa...

TANZANIA SIO NCHI YA KIDINI NA HAIRUSIWA HATA KUONESHA DALILI HIZO NI HATARI MNO KUWEKA MASWALA YA DINI SERIKALI

Eti necta nao wako busy watunge mitihani sijui yesu alifanya nini mara sijui mtume alifanya nini ...

Tuiheshimu tanzania hasa tanganyika mambo ya dini hatutaki toeni....kama upande wa pili znz watapenda muwakeeni ila tanganyika haiwezi jengwa kamwe na mifumo hii mnayoleta TANGANYIKA TUNATAKA WATOTO WAWE BUSY NA ELIMU DUNIA ZAIDI.....

SIJUI MAKAMBA SIJUI MAKONDA SIJUI RIDHIWAN AU YEYOTE ATAYEKUJA KUWA RAIS BAADa ya mama samia atoe haya madini kwenye elimu rasmi hayana tija kwa taifa ... taifa linahitaji sana kuendelea upande wa elimu dunia...... sio elimu ahera .....
View attachment 2940566
 
Kupungua kwa raslimali muhimu za muda na nafasi kwa masomo yasiyo ya kidini.

Kutumika kwa kodi za raia katika masuala ya

Kupungua kwa raslimali muhimu za muda na nafasi kwa masomo yasiyo ya kidini.

Kutumika kwa kodi za raia katika masuala ya dini.
hakuna kutumika kodi za raia kwenye dini.kwani hao watoto wanaosoma hayo masomo ya dini si ndo wazazi wao wanalipa hizo kodi?
Hoja ya muda. Nakataa sababu hata elimu ya dini nayo ni elimu inayotakiwa ipewe muda tena wa kutosha.kusoma dini sio kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom