karatu

Karatu District is one of the seven districts in the Arusha Region of Tanzania. It is bordered by the Ngorongoro District to the north, the Shinyanga Region to the west, the Monduli District to the east, and the Manyara Region to the south and southeast.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Karatu District was 178,434. By 2012, the population of the district was 230,166.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

    Taarifa hii ya Kibinadamu imetolewa na Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini Aman Golugwa , na kwamba Chama hicho kitaendelea na Ratiba ya Maandamano kwenye Maeneo mengine. Tundu Lissu ndiye aliyepangwa na Chama hicho kuzindua Wiki ya Maandamano Karatu.
  2. ChoiceVariable

    Baada ya Tundu Lissu kuachiwa na Polisi; je, atarejea Karatu kuendelea na mkutano wake?

    Atarejea kufanya Mkutano Wake Karatu au ndio katishika? Ikumbukwe kabla na hata baada ya kushambuliwa na risasi, Lissu hajawahi kamatwa na Polisi. Mara ya mwisho ni Ile aliyokimbilia ubalozini kukwepa Kukamatwa. Soma: Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana
  3. Teko Modise

    Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  4. MamaSamia2025

    KARATU: Mji wenye vumbi kali na fursa nyingi za kiuchumi

    Majuzi nilileta uzi wa miji yenye vumbi jingi ambapo Karatu ilikuwa namba moja na hakuna aliyepinga. Baadhi ya comments zilizonekana kugusiagusia kuhusu huu mji ambao hauna mpinzani kwa kiwango cha vumbi jekundu kusini mwa jangwa la sahara. Lakini pamoja na vumbi bado Karatu ni mji mmoja uliokaa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Zaytun Swai Akagua Miradi ya Maendeleo Karatu

    Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Karatu, Mhe. Daniel Awack akiambatana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Swai wakiwa katika Ukaguzi wa mradi wa scheme ya umwagiliaji bonde na Eyasi uliotengewa fedha kiasi cha Tsh bil 38. Mbunge Zaytun Swai ametoa Shukurani kwa Serikali ya awamu ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    Vijiji Vyote Vilivyopo Wilaya ya Karatu na Monduli Kufikiwa na Umeme

    VIJIJI VYOTE VILIVYOPO WILAYA YA KARATU NA MONDULI KUFIKIWA NA UMEME. Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeendelea na hatua ya kusambaza umeme katika maeneo ya Wilayani Monduli na Karatu ili kuhakikisha Vijiji ambavyo havijafikiwa umeme vinafikiwa. Naibu Waziri wa Nishati...
  7. Melki the Storyteller

    Mimi ni kijana mwenye degree tatu ninaeuza nyanya Karatu

    Asikwambie mtu, biashara ni ngumu sana, isitoshe pesa hakuna. Vyuma vimekaza ilihali mama yangu anamiliki "garage" iliyosheheni makopo kibao ya grisi Nina shahada tatu nilizozisotea kwa muda mrefu sana. Mbali na kujibana bana kwenye matumizi ya boom langu ambalo nilihitaji kumega nusu ya pesa...
  8. MamaSamia2025

    Karatu: Ngome imara ya upinzani (CHADEMA) kwa upande wa bara

    Hapa nchini kumekuwa na fikra kwamba kaskazini kote ni ngome imara ya upinzani kwa majimbo karibu yote ila kwa tunaofahamu vizuri hiyo kanda tuko tofauti kidogo. Ni kweli wapinzani wamesimika mizizi kwenye baadhi ya majimbo ila mengi hayako imara kusimama na upinzani kwenye chaguzi zote. Kwa...
  9. M

    Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

    Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya. Dkt. Slaa...
  10. MamaSamia2025

    Wapi zaidi kati ya Mbinga na Karatu

    Nimeona kuna ligi ya kupambanisha miji humu JF. Leo nimeona nije na hii miji miwili midogo. Karatu iliyoko Kaskazini mwa Tanzania mkoani Arusha na mji wa Mbinga ulioko kusini mkoani Ruvuma. Sehemu zote mbili nimefika na ninazifahamu. Zinafanana sana kifursa. Wewe mji upi mkubwa na upo na fursa...
  11. sifi leo

    Kwa nilichokiona kutoka Karatu mpaka Kilimanjaro, nakusihi Rais Samia ifungulie CHADEMA

    Nianze Kwa kutoa pole Kwa Wafiwa waliofiwa na ndugu Yao na kufanikisha kumpakia kwa ndege kutoka Kalatu mpaka uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro. Nianze Kwa kuusema ukweli Mimi ni mwanasiasa nisiyekipenda na stokaa nikipende Chama Cha Mapinduzi narudia Tena sitokaa nikipende Chama Cha Mapinduzi...
  12. MamaSamia2025

    Kwa watoto kuliwa na fisi wilayani Karatu, nailaumu idara ya wanyamapori

    Ninaandika hili kwa uchungu mwingi sana. Kumekuwa na matukio mengi hapa nchini ya watu kujeruhiwa au kuliwa kabisa na fisi. Na mara nyingi wahanga huwa ni watoto hasa wale wenye umri mdogo. Hili jambo linalotia uchungu mwingi mno. Mkoani Shinyanga ndo kumekuwa na matukio mengi ya fisi kuleta...
  13. T

    Kauli ya Waziri wa Maji iende mbali zaidi kwani miji mingi tunauziwa Maji kwa bei kubwa

    Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au uneme. Imekuwa kawaida kwa wasambazaji wa huduma hii kujiongezea kiwango Cha pesa pasipo washirikisha...
  14. Mrkingcamel

    Kwanini wilaya ya Karatu ina matukio ya ubakaji wa watoto unaojirudia kila mara?

    Nimewaza ili swala pasipo kupata majibu kwa wilaya yakaratu inaongoza kua na wanawake wengi kuliko wanaume lakini asilimia kubwa hawana muda na wanaume wazawa hivyo asilimia kubwa ya wanaume wazawa ndio wanaoshika namba ya ubakaji hususani ya watoto wadogo. Nimepiga mahesabu kwa miaka mitatu...
  15. Mdaiwa-Sugu

    TUHUMA: DED Karatu adaiwa kuwanyanyasa na kutamba kuwafanya chochote Watumishi bila kufanywa chochote

    Huyu ni DED wa wilaya ya Karatu. Anaitwa Waziri Morice. Ananyanyasa sana watumishi wa Serikali katika wilaya yake na anavyowanyanyasa anatamba kuwa anaweza kuwafanya chochote na watumishi hao wasimfanye chochote wala kumpeleka popote. Baadhi ya Mambo ambayo amekuwa akiyafanya: 1. Amekuwa...
  16. KakaJambazi

    Mji wa Karatu unaongoza kwa Wanawake wazuri

    Leo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe. Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
  17. Ushimen

    Karatu DC Jobs, March 2021- (Various Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza hapo chini kudownload document PDF: TANGAZO LA KAZI- KARATU DC PDF
  18. Suley2019

    Uchaguzi 2020 CCM Karatu yarejesha Halmashauri baada ya miaka 20

    Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwa wametangazwa kushinda. Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Moris Waziri amesema sasa wanasubiri matokeo ya kata tatu tu ambazo wanakamilisha kuhesabu...
Back
Top Bottom