mbinga

Mbinga is a town and ward in the Ruvuma Region of southwestern Tanzania. It is located along the A19 road, to the northeast of Ndengo and southwest of Kigonsera.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Hali ni mbaya sana Shule ya Msingi Kitanda - Mbinga TC

    Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya wilaya ya Mbinga. Shule hii inakadiriwa kuwa na wanafunzi 700+ na walimu wasiopungua 8 lakini...
  2. A

    DOKEZO DC Mbinga avunje Hostel Bubu kwenye Shule za Sekondari Mbinga DC na Mbinga TC

    Baadhi ya shule za sekondari wilaya Mbinga zimeanzisha hostel bubu ambazo hazifai kwa matumizi ya wanafunzi hususan wa kike hasa madarasa ya mitihani na hata zile shule zenye hostel za wasichana hazina hadhi ya kuwa hostel. Baadhi ya shule kama vile Kikolo, Mkwaya,Dr.Shein,Mkoha,Matiri...
  3. Maguguma

    Kijiji cha Manzeye Wilayani Mbinga hakina umeme, baadhi ya maeneo watakiwa kununua haki zao

    Kijiji cha Manzeye kilichopo Kata ya Wukiro Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma kipo kwenye orodha ya vijiji vilivyokosa umeme mkoani Ruvuma. Kijiji hicho ambacho kinapakana na kata ya Litembo hadi sasa wananchi wake hawajui ni lini watapata umeme huo ingawa baadhi ya maeneo wasimamizi wa...
  4. Maguguma

    Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha

    Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha wao wenyewe badala ya wakulima wa zao hilo. Wakulima wa zao la Kahawa wanafanya kazi wakati wa mvua na jua kwa kipindi cha mwaka mzima, lakini kwa asilimia kubwa wanaonufaika ni...
  5. MamaSamia2025

    Wapi zaidi kati ya Mbinga na Karatu

    Nimeona kuna ligi ya kupambanisha miji humu JF. Leo nimeona nije na hii miji miwili midogo. Karatu iliyoko Kaskazini mwa Tanzania mkoani Arusha na mji wa Mbinga ulioko kusini mkoani Ruvuma. Sehemu zote mbili nimefika na ninazifahamu. Zinafanana sana kifursa. Wewe mji upi mkubwa na upo na fursa...
  6. J

    Waziri Aweso aibua shangwe wananchi pembezoni vyanzo vya maji Mbinga; aagiza usanifu wa mradi kuanza

    AWESO AIBUA SHANGWE WANANCHI PEMBEZONI VYANZO VYA MAJI MBINGA; AAGIZA USANIFU WA MRADI KUANZA MBINGA-RUVUMA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso amekagua na kuzindua shughuli za uhifadhi wa vyanzo cha maji vya Lupembe A, B, C, na D ambavyo ni tegemeo kwa usambazaji maji Safi kwa mji wa Mbinga...
  7. Uzalendo wa Kitanzania

    Picha: Muonekano wa kuvutia wa Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay

    Ni eneo la Mitanga Hakika ni kivutio tosha cha Utalii nchini Hongera Mama Samia Kazi Iendelee
  8. Tengosmileog

    Watu 5 wamefariki dunia ndani ya siku 7 katika matukio tofauti mkoani Ruvuma

    Watu watano wamepoteza maisha mkoanii Ruvuma kwa muda wa siku 7 likiwemo la mwanafunzi a kidato cha kwanza Sekondari ya Mbinga wilayani na mtumbo la kucharazwa viboko hadi kufa. Kamanda wa Polisi Ruvuma Bw Joseph Konyo anawashikilia walimu 6 katika tukio hilo ambalo hakuwataja majina kwa ajili...
Back
Top Bottom