Search results

  1. King Jody

    Ukweli kuhusu tabia ya Uchepukaji

    Habari za wakati huu wana Jamii Forums, Kwa mtazamo wangu kuchepuka ni tabia ya mtu inayotokana na kuendekeza tamaa za mwili, ndiyo maana wanasaikolojia wamethiibitisha hilo kuwa ONCE A CHEATER ALWAYS A CHEATER. Wanaume\Wanawake wengi hutoa sababu ya kuchepuka wakidai hawaridhishwi na mwenendo...
  2. King Jody

    Tumia Pesa ya mkopo kwa nidhamu ya hali ya juu

    Ni ukweli ulio wazi kwamba maisha yana kupanda na kushuka, wakati mwingine inatokea mambo yanakuwa magumu kama vile biashara kuyumba nk, Kwa mfanya biashara ukichukua mkopo ili ku boost biashara yako pale ukwamapo siyo mbaya, Niwape kisa kimoja Kuna rafiki yangu alichukua mkopo kama ML 15...
  3. King Jody

    Matapeli wamekuwa wengi tuwe makini ndugu zanguni

    Miezi kadhaa iliyopita kuna jamaa nilikutana nae kwenye mgahawa, alinifuata kwenye meza yangu wakati napata Kifungua kinywa, akaniambia anaomba nimsaidie chochote kwani mke wake amejifungua kwa operation na bado Yupo hospital hana msaada wowote. Kwa kifupi niliguswa na maneno yake...
  4. King Jody

    Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

    Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu? Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake, mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti...
  5. King Jody

    Ukipata nafasi ya kufurahia maisha usiichezee

    Pamoja na pilikapilika za utafutaji wa pesa ni muhimu ku enjoy life kila upatapo nafasi, siyo kila siku busy busy, Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, wao muda wa kazi ni kazi inapigwa kwelikweli, lakini ikifika ijumaa jioni ni bata hadi jumapili, jumatatu kazi kama kawaida, kwa mtazamo wangu...
  6. King Jody

    Hivi Mapenzi ni kitu gani?

    Wengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi, Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi, Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku...
  7. King Jody

    Salamu ya Shkamoo ipigwe marufuku

    Shkamoo inamaanisha niko chini ya miguu yako; Salamu ya kidikteta; Salamu ya kitumwa; Kwa mtazamo wangu salamu hii haina maana, ipigwe marufuku kabisa, Lugha yetu pendwa ya kiswahili ina utajiri wa misamiati mizuri inayoweza kutumika kama salamu badala ya neno shkamoo, kwa mfano; Habari za...
  8. King Jody

    Umewahi kukutana na Changamoto kama hii?

    Salamu kwa wote, Nia yangu siyo kumsimanga mtu bali nataka tujifunze na si vinginevyo, Twende kwenye hoja ya msingi, Mtu anakupigia simu kwamba amekwama kwa jambo fulani linahitaji pesa, anaomba msaada wa kifedha kwa sababu amekama, Unamwambia haina shida ntakusaidia, unaamua kumtumia pesa...
  9. King Jody

    Mlevi hawezi kukusaidia zaidi ya kukununulia pombe

    Unampigia kuwa una shida fulani, anakwambia njoo sehemu fulani, ukifika anakwambia agiza bia, kunywa tani yako usahau shida zako, Lakini kukupa pesa mkononi ni mwiko, sijui kwanini walaevi huwa hawapendi kutoa pesa taslimu, pombe utakunywa ya kutosha lakini wakati mwingi hata chakula tu hawezi...
  10. King Jody

    Vita ya Israel Vs Palestina Imeifunika kabisa Russia Vs Ukraine

    Vita ya Russia na Ukraine bado inaendelea au wameamua kupumzika ili kufutilia vita ya Israel na Palestina? Hata vyombo vya habari vime-base zaidi kureport matukio ya Israel na Palestina utadhani vita ya Russia na Ukraine imeisha. Au wanaviziana? Mungu wa rehema awasaidie kurejesha amani kwa...
  11. King Jody

    Ulioa/kuolewa ukiwa na umri gani?

    Leo tupige story kidogo, siyo muda wote kuwa serious sana. Mimi nilioa nikiwa na umri wa miaka 27 nikajaaliwa kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 28, hiyo ilikuwa 2011, hadi leo nipo kwenye ndoa, nina watoto wanne Mwenyezi Mungu anasaidia tunaishi kwa amani life linasonga. Wewe je...
  12. King Jody

    Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

    Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka, Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo 1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji. 2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa...
  13. King Jody

    Kuna baadhi ya watu ukiwasalimia hawaitikii salamu

    Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada. sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae...
  14. King Jody

    Kufeli Mitihani siyo kufeli maisha

    Nikiwa katika matembezi mara nikasikia mlio wa honi ya gari kugeuka nakutana na jamaa niliyesoma naye darasa moja, [Class mate] Aliposhusha kioo cha gari na kunisabahi, Nikabaki nashangaa, Jamaa kwa muonekano wa haraka haraka yupo vizuri kiuchumi, Mavazi ya gharama na Micheni ya dhahabu...
  15. King Jody

    Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

    Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex. Je, kuna ukweli wowote katika hili? We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi Binafsi napenda- Kusikiliza...
  16. King Jody

    Simba wamalize tofauti zao, migogoro haitawasaidia

    Ni wakati wa kumaliza tofauti zenu baada ya kufungwa na mtani wenu kwa idadi ya mabao mengi {1-5} Maisha lazima yaendelee, haikuwepo sababu ya msingi kumtimua kocha Robertinho mzee wa Objective football, Takwimu zinaonesha amepoteza mechi moja tu tangu ajiunge nanyi kama Head coach. -Hakuna...
  17. King Jody

    Hivi kuna chama ambacho kinaweza kuitoa CCM madarakani?

    Huwa najiuliza ni chama ganii chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani, kwa sababu CCM ni kama Mandonga Ukimshinda ni kama amekushinda, na akishinda ameshinda. Namuomba Mungu anijalie afya njema ili siku moja niweze kushuhudia kwa macho yangu CCM ikipigwa knockout na chama chochote cha upinzani.
  18. King Jody

    Uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Muziki wa Reggae

    Muziki wa Reggae ni muziki mzuri unaobeba hisia mbalimbali kama, ukombozi wa mtu mweusi, mapenzi, harakati, nk, kwa kifupi ni muziki unaogusa maisha ya mwanadamu kwa ujumla. Wasanii wa muziki wa Reggae wapo wengi ila hawa ni baadhi ya wale ninaowakubali; 1. BOB MARLEY No woman no cry Buffalo...
  19. King Jody

    Machache kati ya mengi kuhusu maisha

    Katika maisha nimejifunza mambo mengi, na bado naendelea kujifunza, na haya ni baadhi, 1.USIMUAMINI MTU-Wengi wetu tumeumizwa na watu ambao tuliwaamini kwa namna moja au nyingine, kwa mfano Umetembelewa na ndugu yako lakini baada ya siku kadhaa anambaka mtoto...
Back
Top Bottom