Search results

  1. Rangooo

    Natafuta kazi katika fani ya Uhasibu na Usimamizi wa fedha (Accounting and Finance). Nipo tayari kurelocate sehemu yoyote

    Habari wana JF wote, Kwa jina naitwa Adam Ramadhani, Nina umri wa miaka 25 na kwa sasa naishi mkoani Tanga. Nimefanikiwa kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu na kupata shahada ya Uhasibu na usimamizi wa fedha yani (Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector) Katika chuo kikuu cha...
  2. Rangooo

    Nimeitwa kwa ajili ya usaili RUWASA kama mhasibu, naombeni msaada juu ya haya baadhi ya mambo

    Habari zenu wakuu, Nmepata nafasi ya kufanya usaili kama mhasibu wa chombo ruwasa kwa wale wazoefu au wanaofahamu chochote juu ya sahili hizi naomba sana msaada wenu juu ya haya yafuatayo: 1. Kuanzia kwenye tangazo la kazi mpka kuitwa katika usahili huu lugha pekee waliyotumia ni ya kiswahili...
  3. Rangooo

    Naomba kufahamu bei halisi za airpods Pro hizi kwa anayefahamu.

    Habari wakuu, Kwa yeyeto anayefahamu kuhusu airpods naomba ajisaidie kujua kuhusu bei zake, asanteni.
  4. Rangooo

    Natafuta kazi katika fani ya Uhasibu na Usimamizi wa Fedha. Nipo tayari ku-relocate sehemu yoyote

    Habari wana JF wote; Kwa jina naitwa Adam Ramadhani, Nina umri wa miaka 25 na kwa sasa naishi mkoani Tanga. Nimefanikiwa kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu na kupata shahada ya Uhasibu na usimamizi wa fedha yani (Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector) Katika chuo kikuu cha...
  5. Rangooo

    Natafuta kazi ya Uhasibu na usimamizi wa fedha (Nipo tayari kurelocate popote)

    Habari wana JF wote; Kwa jina naitwa Adam Ramadhani, Nina umri wa miaka 25 na kwa sasa naishi mkoani Tanga. Nimefanikiwa kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu na kupata shahada ya Uhasibu na usimamizi wa fedha yani (Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector) Katika chuo kikuu cha...
  6. Rangooo

    Je, kwa wale walioinvest MTFE ni nini maono yenu juu ya hii platform? Future yake ikoje?

    Habari wana JF, Kwa wale ambao wamejiunga na ni investors wa MTFE na ambao wanaifaham vizuri mnaonaje uwepo wa hii platform na ni nini future aspects zake, je itaweza kuwepo kwa mda mrefu? Ingawa mtandaoni inakua criticized sana kuwa ni scam ila imelast for a while sio kama platform nyingne...
  7. Rangooo

    Natafuta Mtu yoyote anayefanya kazi Huaxin Cement ltd. Mkoani Tanga

    Habari wana JF, Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema, mm ni mkazi wa tanga natafuta mfanyakaz yoyote wa huaxin Cement Nina shida naye..kama hatojali naomba sana anitext PM Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
  8. Rangooo

    Natafuta kazi ya Uhasibu na Usimamizi wa Fedha

    Habari wana JF wote; Kwa jina naitwa Adam Ramadhani, Nina umri wa miaka 25 na kwa sasa naishi mkoani Tanga. Nimefanikiwa kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu na kupata shahada ya Uhasibu na usimamizi wa fedha yani (Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector) Katika chuo...
  9. Rangooo

    Rais Samia, Waziri mkuu, vijana wa TAESA wanateseka toka January hawajapokea mshahara, tusaidieni jamani

    Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti...
  10. Rangooo

    TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Habari wana JF, Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha. Hii kitu...
  11. Rangooo

    Ndugu yangu anataka kwenda kutafuta maisha Uingereza kwa gia ya kuingia kama mkimbizi. Je, atafanikiwa?

    Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza. Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu...
  12. Rangooo

    Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  13. Rangooo

    Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujaribu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  14. Rangooo

    TSG 10 ni kiasi gani cha mshahara?

    Habari, naomba kufaham kwa mwenye kujua TSG10 NI kiasi gani cha mshahara, asanteni
  15. Rangooo

    Kwa huduma ya CRDB cardless endapo hujatoa pesa atm, transaction itaexpire kwa mda gani pesa irudi kwenye account?

    Habari ndugu zangu, niliokosea kutoa pesa kwa njia ya crdb cardless kwa kutaka kutoa 137000, kumbe ni lazma uweke katika figures za 10000, je ili pesa irudi itatumia muda gani kufika.
  16. Rangooo

    Ni benki ipi bora kwa ajili ya savings (yenye makato madogo na urahisi wa upatikanaji n.k) hapa nchini?

    Habari wana JF, Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye internet banking bora. Pia yenye urahis wa kupatikana namaanisha ATM's nyingi. Na je what if mtu akitaka...
  17. Rangooo

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara kwa rejareja na jumla

    Habari wana jamvi, Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa uhakika na njia zipi ni bora za kupata wateja wa hivi vitu.
Back
Top Bottom