Ni benki ipi bora kwa ajili ya savings (yenye makato madogo na urahisi wa upatikanaji n.k) hapa nchini?

Rangooo

Senior Member
Feb 12, 2022
196
322
Habari wana JF,

Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye internet banking bora.

Pia yenye urahis wa kupatikana namaanisha ATM's nyingi. Na je what if mtu akitaka kutoa pesa nyingi mfano million 5 kuendelea ni bank ipi yenye uhakika na isiyo na longo longo.

NB: Sifahamu chochote kuhusu banking ila nataka nifungue account, sasa nimekua nikifatilia na kutafta kwa watu tofaut bila mafanikio naamin nitapata msaada asanteni.
 
Mkuu smartphone yako ya kazi gani mpaka unajiuliza maswali yote hayo?
Nimeuliza kwa kuona wengi wa watu ninaowafahamu wamepeleka pesa zao uko, hua fursa kama izo zikitokea na watu wa bank wakiona wateja wao wanatoa pesa na kupeleka uko basi kuna vitu huenda vikabadilika uko UTT amini ilo.
 
nimeuliza kwa kuona wengi wa watu ninaowafahamu wamepeleka pesa zao uko,hua fursa kama izo zikitokea na watu wa bank wakiona wateja wao wanatoa pesa na kupeleka uko basi kuna vitu huenda vikabadilika uko UTT amini ilo.....
Hivi unafahamu jinsi hizi taasisi zinavyofanya kazi au upo hapa kuzungumza jambo gani?

Anyways knowledge is free, choose ur self kuwa kichwa au mkia
 
Fungua account ya CRDB ya mzigo flexa ambayo inakupa asilimia 9 kila mweziii ya ela ulioweka na kiwango Cha chni Cha kusave ni million 1 unaeza ukaongeza pia na unawezaa kutoa faida yako kila mweziii piaa
Ni bora kuliko kusave ela invest ela

Yani hiyo 1m ukiiweka inaweza kuzaa asilimia flani ya pesa kama faida ama?
 
Back
Top Bottom