TAESA (Transportes Aéreos Ejecutivos) was a low cost airline with its headquarters in No. 27 of Hangar Zone C on the grounds of Mexico City International Airport in Mexico City, Mexico.
kuna hii fursa imejitomeza huko TAESA, nimeona nisiwe mchoyo ni waletee humu ili MADEREVA wenye vigezo mkajaribu bahati yenu hii fursa bwana ni mkataba wa mwaka mmoja.
kama upo Dar es salaam hakikisha unaenda kwenye ofisi za TAESA wanazo ajira za udereva wanahitajika madereva wengi sana.
Uwe...
Habari wapendwa,
Hivi kujisajili taesa inakuaje au sasa hv mfumo haufanyi kazi? Maana toka juzi nahangaika kujisajili haifiki popote ina search kwa muda mrefu inaandika tu contacting website again nakuendelea ku load tena na tena mwishowe inaandika Google couldn't reach the internet. Sasa...
Mambo vipi wakuu? poleni na majukumu. Naomba kuuliza mwenye kufahamu, hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa? Maana kwenye siku za hivi karibuni nimejaribu sana kufungua account lakini system inagoma...
Natumai mpo vyema leo katika namna kujenga na kutoa ushauri ningependa kuona UTUMISHI-TAESA wakijoin force kupunguza mlundikano wa interview na kupunguza cost kwa hizi taasisi mfano mdogo uandaaji wa mitihani, safari, pesa za chai n,k lakini pia itasaidia utumish kupeleka watu sahihi kwa kuwa...
Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha.
Hii kitu...
Habari
Nimetumiwa email hiiyo hapo chini na TaESA sasa sijajua wana maana gani kwamba nitaitwa kwaajiri ya training very soon au ni email ya kawaida ambapo kila anaekamilisha usajiri anatumiwa ?
Naomba wenye uzoefu au ambao walishapata sehemu za kujishikiza kupitia TaESA wanifumbue macho
Habari zenu za muda huu wakuu? Naomba nipate uhakika ni hiki ninachofikiria.
Kwenye Kipengele cha "Job Preference" unapojaza form ya TaESA ni sahihi kwamba unatakiwa ujaze kazi ambazo ungependa kuzifanya kutokana na taaluma yako?
Straight to the point.
TAKUKURU hebu kwa heshima na taadhima nawaomba mkafuatilie huu mchakato jinsi ulivyofanyika maana una viashiria vya RUSHWA ndani yake, kwanini nasema hivi:-
1) Hakukua na tangazo la ajira publicly watu waliitwa kwa kupigiwa simu kwenda kufanya usaili.
2) Baada ya usaili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.