Natafuta kazi ya Uhasibu na usimamizi wa fedha (Nipo tayari kurelocate popote)

Rangooo

Senior Member
Feb 12, 2022
196
322
Habari wana JF wote;

Kwa jina naitwa Adam Ramadhani, Nina umri wa miaka 25 na kwa sasa naishi mkoani Tanga. Nimefanikiwa kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu na kupata shahada ya Uhasibu na usimamizi wa fedha yani (Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector) Katika chuo kikuu cha Mzumbe Morogoro mwaka 2021.

UZOEFU WANGU
Nimefanikiwa kumaliza mkataba wa mwaka mmoja kwa nafasi ya Uhasibu kwa njia ya kujitolea chini ya usimamizi wa TaESA katika Ofisi za wakala wa huduma ya ununuzi serikalini yani (GPSA) Mkoani Tanga kutoka 01/07/2022 hadi 30/06/2023.

Pia, Nimefanikiwa kufanya kazi kwa vitendo yani (Field study) nikiwa katika.. usimamizi wa chuo kikuu Mzumbe katika Mamlaka ya Mapato Tanzania yani (TRA), mkoani Tanga kuanzia 30/11/2020 hadi 30/04/2023.

️Nipo tayari kufanya kazi katika kampuni yoyote binafsi katika field hii ya Uhasibu na usimamizi wa fedha na kusaidia kufikia malengo ya kampuni husika.

️Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa Tanzania.

️Mawasiliano yangu kwa njia ya simu ni 0787185478 / 0676374654
Email = adamramadhani554@gmail.com asanteni Sana.

namba yangu ya mawasiliano ni 0787185478/0676374654.
 
Back
Top Bottom