Search results

  1. Mama Amon

    'Dignitas Infinita': Misingi kumi ya ubinadamu kutoka kwenye mapokeo ya Kikristo iliyotajwa na Papa Francis inawafaa Watanzania kwa kiasi gani?

    Umuhimu na ulazima wa marufuku dhidi ya kutumia maneno yanayoongelea "unanhii" kwenye mahubiri, hotuba za mikutano ya hadhara, katika mitaala, kwenye vitabu vya kiada, ndani ya vitabu vya ziada na katika vyombo vya habari nchini nchini Tanzania Nape Nauye, Waziri wa Vyombo vya upashanjai...
  2. Mama Amon

    'Dignitas Infinita': Misingi kumi ya ubinadamu kutoka kwenye mapokeo ya Kikristo iliyotajwa na Papa Francis inawafaa Watanzania kwa kiasi gani?

    I. Usuli Waraka wa Vatican uitwao "Dignitas Infinita" kwa KIlatini, yaani "infinite dignity," kwa Kiingereza, na "Heshima isiyo na mipaka," kwa Kiswahili, umesambazwa tarehe 08 Aprili 2024.. Ujumbe mkuu wa waraka huu unaweza kuwasilishwa kwa asilimia kubwa na aya ifuatayo: "Regardless of the...
  3. Mama Amon

    Padre Nyenyembe on Francis-Samia agenda on Church-State Cooperation: Will the Pope’s Agenda for Peaceful and Credible Elections Come True in Tanzania?

    Pope Francis posing with President Samia for a photo I. Abstract "Since the Church is present across the different stages of the election process, readers might wonder whether it is permissible in its advocacy to recommend a specific candidate to the Christian faithful. The answer is no. The...
  4. Mama Amon

    Concerning the opposition to extra-liturgical blessings to non-heterosexual unions as preferred by SECAM Bishops: A summary, critique and proposal

    Cardinal Fridolin Ambongo, president of the Symposium of Episcopal Conferences of Africa and Madagascar (SECAM), receiving some advice from his boss, Pope Francis 1. Abstract On 18 December 2023, the Vatican declaration, Fiducia supplicans, was published, opening the possibility of blessing...
  5. Mama Amon

    Ujumbe wa Askofu Niwemugizi Krismasi ya 2023: Muhtasari, maswali na tafakari

    Majibu "very articulate" kwa porojo za Askofu LGF: Umachiaveli hapana, utapeli wa kidini hapana, ukweli wa kisayansi sawa! Padre Gregor Mendel mwasisi wa sayansi ya msimbonasaba (genetics)! God, the author of truth, Pope Francis, the guardian of truth, and Padre Gregor Mendel, the father of...
  6. Mama Amon

    Ujumbe wa Askofu Niwemugizi Krismasi ya 2023: Muhtasari, maswali na tafakari

    I. Utangulizi Askofu Severine NiweMugizi ni miongoni mwa Maaskofu wa Kanisa Katoliki machachari sana. Huwa hataki kulala na dukuduku moyoni mwake hata siku moja. Pia historia yake kama Askofu inaonyesha kwamba ni mtu asiyependa wala kuvumilia ukaidi dhidi ya mamlaka halali. Hata hivyo...
  7. Mama Amon

    Alichosahau kuongelea Rais Samia siku ya mwaka mpya 2024: Fedha za kuendesha Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote zitatoka wapi?

    I. Utangulizi Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu za kuongoza utekelezwaji wake. Sheria hii ni mkakati wa kuipunguzia serikali mzigo wa kugharimia...
  8. Mama Amon

    On faith-reason encounter vide 'irregular situations' arising from disorders of sexual development: Why Pope Francis is right and his opponents wrong

    A response to Sexless: Are contacts between religious and scientific knowledges always and everywhere antagonistic? I. Introduction Sexless is trying to answer the question: Given that knowledge is justified true belief, and since reveled knowledge and reasoned knowledge are two types of...
  9. Mama Amon

    On faith-reason encounter vide 'irregular situations' arising from disorders of sexual development: Why Pope Francis is right and his opponents wrong

    I. Abstract “What indeed has Jerusalem to do with Athens, the Church with the Academy, the Christian with the heretic?… After Jesus we have no need of speculation, after the Gospel no need of research.”--Tertullian of Carthage, North Africa (155-240 AD),. “Do not think that we say that these...
  10. Mama Amon

    Swali kwa Kamati ya Dira ya Taifa: "Umoja wa Taifa ni Chachu ya Maendeleo au Maendeleo ni Chachu ya Umoja wa Taifa?"

    Wajumbe 22 wa Kamati ya Dira ya Taifa ya Maendeleo wakiwa wamesimama mbele ya bango lenye kaulimbiu isemayo kwamba "Umoja na Mshikamano ni Chachu ya Maendeleo ya Taifa" I. Utangulizi "Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha. Unyonge wetu...
  11. Mama Amon

    Mwitiko wa Serikali Kuhusu Maporomoko ya Katesh-Hanang: Matumizi ya 'kanuni ya sera duni' katika kukabili maafa yameonekana, yapongezwe, yaendelezwe!

    https://youtu.be/FHNY4s5ekxk "Mnamo saa kumi na mbili asubuhi, nilikuwa nimelala ndipo mume wangu aliponiamsha, akiuliza, 'hilo si tetemeko la ardhi?' Mimi na watoto wetu tulianza kukimbia nje, lakini tulijikuta tumezungukwa na matope kila mahali, na yalianza kutuburuta. Tulikwama kwa saa...
  12. Mama Amon

    Swali kwa Waziri wa Mazingira, Dkt Suleiman Jaffo: Watumishi wa umma 333 wamefuata nini kwenye mkutano wa COP28 huko Dubai?

    Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jaffo, Waziri wa Mazingira, Mkutano wa kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Dubai, kwa siku 14, tangu tarehe 30 Novemba hadi 12 Desemba 2023. Lakini ukubwa wa ujumbe wa Tanzania umeibua utata miongoni mwa Watanzania wanaotaka...
  13. Mama Amon

    Ushauri kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, IGP, Mameya, ma-OCD na ma-RPC: Kwa kuwa ukahaba sio kosa la jinai, basi misako ya makahaba ikomeshwe mara moja

    Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Tanzania I. Utangulizi Mheshimiwa Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Tanzania, Msako wa makahaba jijini Dar-es-Salamaa uliosababisha Mauaji ya Razak Azan, Mlinzi wa Baa ya Boardroom huko Sinza, Wilayani Kinondoni, sio sawa na tukio la mgonjwa...
  14. Mama Amon

    CPT wasema Katiba Mpya ni Kipaumbele Alfa na Omega, Wataja Vipaumbele 28 vya Dira ya Taifa Kuelekea 2050

    Profesa Kitila Alexander Mkumbo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Waziri mwenye dhamana ya kusimamia utendaji wa kazi za Tume ya Mipango Chama cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) kimeadhimisha kwa kishindo kumbukizi ya miaka 40 tangu kilipoasisiwa na wanataaluma wakristo...
  15. Mama Amon

    Kardinali Protase Rugambwa, hadithi ya wanawali kumi, na teolojia ya utunzaji wa rasilimali

    https://youtu.be/ZjF8cpKA9kA Katika homilia yake ya kwanza kama Askofu Mkuu Mpya wa Jimbo la Tabora, Kardinali Rugambwa, amehusianisha hadithi ya wanawali kumi na utunzaji wa rasilimali za nchi katika namba yenye kufikirisha sana. Nitajaribu kueleza nilichoelewa kutokana na homilia yake...
  16. Mama Amon

    What RC's and DC's in Tanzania Need to Know: Fornication is legal under section 160 of Marriage Act(1971)

    https://youtu.be/lrwEQryyXJQ On 31 October 2023, the Dar es Salaam Regional Commissioner, Mwalimu Albert Chalamila, while Speaking to all Dar es Salaam District Commissioners in a meeting which he convened, he instructed his subordinates to de-register massage service providers who are...
  17. Mama Amon

    Baada ya uteuzi wa Paul Makonda Katibu mwenezi wa Taifa wa CCM: Fahamu hoja zake tano zinazopaswa kujibiwa badala ya kumshambulia mleta hoja

    https://youtu.be/IAut5DN7qE0 Tangu Paul Makonda alipoanza kazi baada ya kuteuliwa kuwa Katibu mwenezi wa Taifa wa CCM mitandao ya kijamii imesema mengi juu yake na ofisi aliyoteuliwa kuitumikia. Maoni mengi yana sura hasi, baadhi wakiwa wanamtazama kwa kutumia miwani ya itikadi ya ujenitalia...
  18. Mama Amon

    Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA

    https://youtu.be/mYG3nEK8BZE Sote tunafahamu kwamba, kwa nchi changa duniani, fursa za uwekezaji wa kigeni sio tu kwamba ni chache, lakini pia zinakuja na mashari ya kikatili, kinyonyaji na kikoloni. Na wakati mwingine zinakuja kwa ghrama kubwa sana. Kuna wakati mazingira asilia ndiyo...
  19. Mama Amon

    Kama Mama wa Taifa ni Rais Samia vipi kuhusu Maria Waningu Gabriel Magige Nyerere?

    Kufananisha Mke wa profesa, mke wa mwajajeshi, na mke wa mwanasiasa ni kuchanganya maembe na machungwa. Mke mwanasiasa anapanda jukwaani na mumewe. Lakini Mke wa profesa haingii darasani na mumewe. Na mke wa mwanajeshi haingii kwenye kwata na mumewe. Tulia sindano ikuingie.
Back
Top Bottom