makahaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama Amon

    Ushauri kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, IGP, Mameya, ma-OCD na ma-RPC: Kwa kuwa ukahaba sio kosa la jinai, basi misako ya makahaba ikomeshwe mara moja

    Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Tanzania I. Utangulizi Mheshimiwa Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Tanzania, Msako wa makahaba jijini Dar-es-Salamaa uliosababisha Mauaji ya Razak Azan, Mlinzi wa Baa ya Boardroom huko Sinza, Wilayani Kinondoni, sio sawa na tukio la mgonjwa...
  2. BARD AI

    Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza

    1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam. 2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa Bar ya Boardroom, Sinza 3. Polisi kutoka kituo cha Polisi Mabatini walifika na gari na kupaki nje ya...
  3. S

    Maoni ya Fundi Samico kuhusu ukamataji wa makahaba kiufundi; Tujifunze pamoja

    Heshima kwenu ndugu zangu! Nashawishika kuandika maoni haya Leo nikitambulika kama fundi Samico, Fundi bora kabisa wa umeme na ujenzi kwa bei nafuu kwa watu wote na taasisi! Wateja wangu ni wengi wakiwemo hata makahaba wenyewe! Napatikana kwa simu 0711756341 au Instagram tafuta...
  4. Kindeena

    Kisa cha Mkuu wa Mkoa Rwegasira kuondoa makahaba Dar es Salaam

    MWALIMU NYERERE ALIMZUIA BALOZI JOSEPH RWEGASIRA KUWAONDOA MAKAHABA JIJINI DAR Tanzania imepitia simulizi nyingi zenye kusisismua lakini nyingi zikiwa hazisemwi sana kwenye vyombo vya habari na hivyo kupelekea vizazi vya sasa na vijavyo kutokujua mengi yaliyowahi kutokea na kuleta changamoto...
  5. H

    DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

    Habari wakuu! Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu. Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo...
  6. one wisow

    Makahaba wa Mbagala wamekuwa kero kwa wapita njia

    Makahaba mnaojiuza Mbagala acheni kusumbua watu wanaopita njia. Sio kila mtu ni mteja wa uchafu wenu huo. Mtu anapita ametoka kazini wanaaza kukuita shemeji mara wakuvute mkono, hata usipojibu anakufata na kusumbua hata aibu hamna sheenzi kabisaa, mbwa nyie.
  7. Suzy Elias

    Asilimia 95 ya mabinti wanaotoka kwenye familia tajiri ni makahaba wa kutupwa!

    Kwa utafiti wangu usiotia shaka hata chembe tena kwa kujionea mimi mwenyewe hakika asilimia kubwa ya mabinti wanao tokea kwenye familia tajiri ama wanaojiweza ni makahaba wa kutupwa! Ipo hivi, mawakala wa uzinzi na ma dada poa sugu miaka ya hivi karibuni wanaendesha mradi wa kuwauza mabinti...
  8. Lycaon pictus

    Jinsi rafiki mhuni wa Malcom X "Sammy The Pimp" alivyokuwana anapata makahaba wa kuwauza.

    Nip kwenye kutafsiri kitabu cha Malcom X, jamaa maishani mwake kapitia uhuni mwingi sana. Pia alikuwa na marafiki wahuni balaa. mmoja wa rafiki yake huyu aliitwa Sammy The Pimp(Kuwadi Sammy). Hivi ndivyo alikuwa akipata makahaba wa kuwauza. Sammy alikuwa amempa mimba msichana mmoja huko kwao...
  9. TUKANA UONE

    Biashara ya Ukahaba Haiwezi kuisha kama Makahaba wanakata viuno kuliko wake zetu nyumbani

    Ukatae au Ukubali,wengi wa wanaume wanataka wanapofanya tendo la ndoa waridhike. Unakuta mwanaume analala na mwanamke wake lakini janamke limekuwa kama gogo tu ndani ya nyumba,ukiliambia geuka uiname hivi linakuvutia midomo kama manati.Unadhani mwanaume gani anataka kero?,Mwisho wa siku akipita...
  10. GENTAMYCINE

    Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  11. DR HAYA LAND

    Ni kitu gani mtu mzima (Mwanaume) anaweza ingia katika chumba Cha Makahaba na jinsi kilivyo kichafu na kidogo?

    Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja . Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali . Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
  12. GENTAMYCINE

    Huu utaratibu wa 'Makahaba' wa Mkoani Njombe nimeupenda na nashauri 'Uenziwe' nchi nzima

    Yaani wanakaa ( wanatega ) maeneo ya Lodge / Guest kisha wanakuangalia kama Mwanaume umeingia na Mkeo au Mchumba au wanaenda kwa Mhudumu wa zamu kama umeingia peke yako kisha kwa Unyenyekevu Uliotukuka ule wa Kihehe, Kibena na Kiwanji wanakuja Kukugongea Chumbani Kwako na ukifungua tu Mlango...
  13. Elitwege

    Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

    Dar es Salaam. Biashara ya ukahaba imevamia kwa kasi baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam, na kusababisha kero na adha kubwa katika makazi ya watu, hasa eneo la Sinza kiasi cha kuzifanya baadhi ya familia kuhama nyumba, Mwananchi limebaini. Wazazi na walezi wanasema hali hiyo pamoja na...
  14. GENTAMYCINE

    Napinga RC wa Dar es Salaam Makalla 'Kuwafurumusha' Makahaba katika 'Vilinge' vyao bali waachwe tu waendelee Kuuza 'Nyama' zao tamu

    Siku zingine kabla hamjakurupuka Kuwaondoa ( Kuwafurumusha ) muwe mnaitisha Kwanza Kura za Maoni kutoka Kwetu Wadau na Wadaawa wakuu wa hizo 'Nyama' zao tamu na tukuka. Kwahiyo mnavyowaondoa mnataka sasa tubake Wanafunzi ili mtufunge vizuri Miaka yenu 30 au tuanze kuwapa Mimba 'House Girls'...
  15. Frumence M Kyauke

    Huduma za makahaba zinasababisha vijana washindwe kuoa

    Kamanda wa Polisi wilaya ya Kisarawe Eva Steshen, amesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao baada ya kuoa wamekuwa wakiipata kwa bei nafuu kutoka kwa wadada poa wanaofanya biasahra ya ngono wilayani humo. Kauli hiyo imetolewa wakati wa ziara...
Back
Top Bottom