Search results

  1. denis fourplux

    LATRA simamieni sheria, mabasi yote yapakie na kushusha abiria kwenye stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi

    Wewe ni kenge wa kiwango cha kwanza Yani nakaa Mkuranga au nakaa Msasani kupanda bus asubui unataka nilale kituoni or niende mpk Magufuli? Unajua umuhimu wa kusogeza huduma? Basi tuishauri serikali isijenge zahanati kwenye kata watu wote waende kutibiwa muhimbili apo maana ata izo hospitali za...
  2. denis fourplux

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Unyama niupendao hii Londo asee naitaman sana
  3. denis fourplux

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba namba ya mtu anaedeposit 1x bet
  4. denis fourplux

    Uliwezaje kuanzisha au kukubali kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi umri?

    Dah wacha ni nyamaze nimeajiliwa moja ya kampuni kubwa ya simu upande wa kuhudumia wateja.. kazi hii naipenda ila inachangamoto sana maana inakufanya uwe malaya sana. Ninaumri wa miaka 25,na kwenye kazi hii na miaka 5 nilipata mteja siku moja Mama wa makamo amezaliwa 1968 aliefika kwa Dada...
  5. denis fourplux

    Msaada: TAMISEMI hutoa kiasi gani cha pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    Ukipata muda soma sheria za utumishi zimeainisha kua pesa ya kujikimu ni 150 per day kwa siku 7 total ni 1050,000 plus nauli Before ilikua ni siku 14 wakachange
  6. denis fourplux

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ntashare teregram and whatsapp link as soon as possible for deposit and withdraw only… Ili iwe rahisi kuwahudumia
  7. denis fourplux

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hello guys mambo vipi wapambanaji Kuanzia jumatatu ntakua nadeal na issue za deposit na withdraw ya 1Xbet… Kwanini huduma zangu? 1. Kuweka na kutoa pesa ni masaa 24hrs 2.kuweka ni bure na kutoa ni bure kabisa kupitia lain zangu za lipa kwa simu na uwakala hakuna makato ya kutuma pesa kwani...
  8. denis fourplux

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ni mwanangu nae kapata baada ya kumsomea mzigo amegoma kujafata barua
  9. denis fourplux

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ivi nataka jua kwa mtu aliepata kazi hakwenda fata barua kwakua anaskilizia post nyingine placement ikitokea nako akakosa mtu uyu akiomba kazi tena utumishi anakua considered au ndo ntolee iyo
Back
Top Bottom