Hivi inawezekanaje mtu huna kazi bado unasoma Master's Degree?

Upo sawa kabisa utaanzaje kusoma zaidi wakati huna kazi, huna uzoefu, Kuna baadhi ya masters Ili usome zinahitaji uzoefu, bila kusahau kuwa , kwamba hatuta weza kutoka utumwani kwa CCM na upinzani huu, kataa CCM na upinzani wote
 
Mimi naona mtoa mada una kilanga kwakuwa yamekukuta, lakini wapo wanaosoma hizo masters na zimewasaidia. Punguza kilanga mkuu as long as huwalipii ada kila mtu apambane na hali yake. Nasikitika kukudharau mkuu
 
Taifa lolote duniani ambalo limedharau elimu haliwezi kufika mbali
Ukifanikiwa ww bila kusoma ni sawa lakini elimu ni kitu cha msingi sana
 
nafikiri kila mtu afanye kile anachoweza na kupenda.
Cha msingi tu tuwe honest, tujiambie ukwel. Ujue kuna time we mwenyewe ukikaa ukaamua kujisililiza kwa utulivu kuna ukwel flan toka nafsin unakupa white and black..usipuuzie hilo.

Mimi binafsi nilimkatalia mzee wangu kusoma masters licha ya kwamba alikua tayar kujitolea kunilipia ada.

Nikamwambia mzee, hapa kwasasa pananitosha, heb acha nipambanie kwanza kombe na gamba hili hili
 
Sasa turejee kwenye mada husika, ni kwa namna Gani masters degree inaweza kuwa na msaada kwa jobless?
So mkuu masters degree Haina content za kumuongezea mtu maarifa nje ya kumsaidia kupata ajira? Halafu hata kama mtu atakuwa jobless masters aliyoipata isifanye abague kazi. Anaweza fanya hata kazi za Mtu ambaye hajasoma ila kwa kuboresha.Mtu hata kama jobless ila akiwa na masters Kuna vitu anajua ambavyo vinaweza leta impact kwenye dunia hata kama yeye atakufa maskini. Cha muhimu tofautisha kupata elimu na kupata ajira au pesa. Elimu ina nafasi yake kwenye jamii pia pesa Ina nafasi yake.
 
So mkuu masters degree Haina content za kumuongezea mtu maarifa nje ya kumsaidia kupata ajira? Halafu hata kama mtu atakuwa jobless masters aliyoipata isifanye abague kazi. Mtu hata kama jobless ila akiwa na masters Kuna vitu anajua ambavyo vinaweza leta impact kwenye dunia hata kama yeye atakufa maskini. Cha muhimu tofautisha kupata elimu na kupata ajira au pesa. Elimu ina nafasi yake kwenye jamii pia pesa Ina nafasi yake.
Mwanzoni comment Yako ya kwanza, uliongea as if unapoteza muda. Hukuweza kutetea hoja Yako.

Jobless mwenye degree, akiongeza masters, maana yake atakuwa jobless mwenye masters. Kama ameshindwa kupata ajira akiwa na degree, Kwan hizo hela za kwenda kujisomesha masters asizifanye mtaji, maana ameelimika, maarifa anayo?
 
Kwanza ishu ya kuongeza maarifa inategemea ni fani gani. Kuna fani bila masters maarifa bado hujaiva mfano mtu aliyesoma degree ya mathematics ili aweze kuwa mathematician mzuri lazima asome masters maana ndo nondo zilipo bachelor degree haitoshi. Japo mpaka hapo lazima awe na uwezo wa kugundua hesabu mpya pia so ikibidi hata phd itahusika hapo
 
Achana na mathematicians, twende na degree zingine ambazo ni common. Kwanini mtu atoe hela ndefu kujisomesha masters, wakati hana ajira? Sio matumizi mabaya ya hela?
 
So mkuu masters degree Haina content za kumuongezea mtu maarifa nje ya kumsaidia kupata ajira? Halafu hata kama mtu atakuwa jobless masters aliyoipata isifanye abague kazi. Anaweza fanya hata kazi za Mtu ambaye hajasoma ila kwa kuboresha.Mtu hata kama jobless ila akiwa na masters Kuna vitu anajua ambavyo vinaweza leta impact kwenye dunia hata kama yeye atakufa maskini. Cha muhimu tofautisha kupata elimu na kupata ajira au pesa. Elimu ina nafasi yake kwenye jamii pia pesa Ina nafasi yake.
Mkuu mtaani watu kibao tunawaona Wana masters na CPA lakini hawana kazi yoyote.
 
Achana na mathematicians, twende na degree zingine ambazo ni common. Kwanini mtu atoe hela ndefu kujisomesha masters, wakati hana ajira? Sio matumizi mabaya ya hela?

Mkuu mtaani watu kibao tunawaona Wana masters na CPA lakini hawana kazi yoyote.
Ishu ya kazi sio mpaka uwe umesoma, ukiwa na masters na cpa halafu huja ajiriwa haimaanishi elimu Yako Haina maana.
 
Back
Top Bottom