Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Attachments

  • 9D89F134-6AFE-4C07-A128-D71148988BFE.jpeg
    9D89F134-6AFE-4C07-A128-D71148988BFE.jpeg
    92.3 KB · Views: 4
JITU BANDIA tuko on line Kiongozi

Tunakusikilizia🚶🏻🚶🏻
Baseball Betting has never been that easy as you think ....huu mchezo unahitaji hesabu kali mzee....

Still on vetting 9 games.....vetting continues .....

Believe me.....hakuna mchezo mgumu kufanyia Vetting kama baseball I swear....!

Ukikosea kidogo tu...umeingia chaka.
 
Hello guys mambo vipi wapambanaji

Kuanzia jumatatu ntakua nadeal na issue za deposit na withdraw ya 1Xbet…
Kwanini huduma zangu?

1. Kuweka na kutoa pesa ni masaa 24hrs
2.kuweka ni bure na kutoa ni bure kabisa kupitia lain zangu za lipa kwa simu na uwakala hakuna makato ya kutuma pesa kwani natumia lain zangu za uwakala
3.uhakika wa kuweka kiwango chochote na kutoa kiwango chochote
 
HABARI za MCHANA:-

Unataka odds ngapi Mdau?

FOOTBALL ⚽ only
( International games only,maana jana Wydad na mwenzie wamechana mikeka kibao,sikujua kama wachezaji wake karibia first Eleven yote ipo Team ya Taifa

NOTE:-
Betting ni mchezo wa kubahatisha
Hakuna sure odds wala guarantee,we are playing with analysis and lucky days respectively.

Siku njema
 
Back
Top Bottom