mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,463
- 3,934
Amen!Kwenye maombi lazma nikukumbuke mkuu,neema yaja soon
Mungu awe pamoja nasi sote watafutaji wa Ajira.
Nitakuja PM nikupe jina langu halisi uzidi kuniombea na Tuombeane siku zote.
Amen!Kwenye maombi lazma nikukumbuke mkuu,neema yaja soon
TMDA na NAOT wapi sio haba boss?Ongeza maombi mkuu ukale Asali TMDA, kule mambo si haba
kama ni wewe be careful?ivi nataka jua kwa mtu aliepata kazi hakwenda fata barua, ikitokea nafasi nyingine akiomba atakua considered?
Kwann hujaenda kuchukua barua?ivi nataka jua kwa mtu aliepata kazi hakwenda fata barua kwakua anaskilizia post nyingine placement ikitokea nako akakosa mtu uyu akiomba kazi tena utumishi anakua considered au ndo ntolee iyo
Amen amen bossAmen!
Mungu awe pamoja nasi sote watafutaji wa Ajira.
Nitakuja PM nikupe jina langu halisi uzidi kuniombea na Tuombeane siku zote.
ni mwanangu nae kapata baada ya kumsomea mzigo amegoma kujafata baruakama ni wewe be careful?
kapangiwa halmashauri ama? y asifaitie transfer baada ya miaka 3!ni mwanangu nae kapata baada ya kumsomea mzigo amegoma kujafata barua
Sasa ana uhakika gani kama atapata hiyo nyingine anayoisubiri?ni mwanangu nae kapata baada ya kumsomea mzigo amegoma kujafata barua
oky KakaSasa ana uhakika gani kama atapata hiyo nyingine anayoisubiri???
Kama uko nae Karibu mwambie afate barua aripoti kituo Cha kazi haraka sana.Baada ya miaka mitatu ndio afanye Taratibu za kuanza kushughulikia uhamisho wa Taasisi yoyote anayotaka kwenda.
Ongeza na LITA.November-December 01/2022.
Placements zilizopo njiani,muda wowote lolote linaweza kutokea kutoka PSRS...
▶️TAEC
▶️ARIMO
▶️OUT
▶️IAA
▶️RUWASA
▶️SUA
▶️MoCu
▶️TMC
Maisha kwa upande wa posho nyingi za safari au kwa salary peke yake? Naomba ufafanuzi kidogo.Amesema amewakosa mkuu
TARI kuna maisha sana sijui ASA wakoje
Huko ndo kwenye asali yenyewe sasa ila ujipange kisawasawa.Sijawahi kuapply post za tutorial assistant,hua zinakuaje kwa anaejua.
Written yake ni kama post zingine au? Na oral yake ipoje?
Duuuu, hili nalo likatazamwe.CPB sijui wanalipa vipi,, but NIRC wako na scale za TGS
Chuo ni kubukua tuu, hakikisha unasoma sanaa, unafanya research zakutosha na kufanya projects nyingi ndo utatoboa, lakini ukilemaa kufundisha utaishia kuwa maskini tuu.Mkuu hv vyuo hakuna safarisafari au Kinakuwaje..
Mfano kama umeajiriwa UDSM laboratory scientist.. au Engeener
Vipi shavu lake Linakuwaje kule..?
salary nasikia ni approximately 1.2 MMaisha kwa upande wa posho nyingi za safari au kwa salary peke yake? Naomba ufafanuzi kidogo.
, daaa mkuu umenichekesha sanaa. Ila Taasisi zenye mpunga mkali ni zile zilizopo wizara ya maliasili na utalii, yaani ukiingia mule ni kuogelea kwenye Pipa la asali kila wakati, angalia mfano, TAWIRI, TAFORI, TFS, TAWA, TWMA n.ksiku ya usahili,NIRC walikuja na cluiser kali kinoma noma,nikasema hapa kuna maisha,sio unapiga pepa na taasis wanakuja na kirikuu haloo
Inaezekana ni kweli Utumishi wamelishughulikia lile swala la multiple placements kwan kuna jamaa zangu wawili hapa kitaa walienda kupiga usaili wa NIRC na hawajatikea kwenye placements za Tutor na TARI.Ata mi pia nawafaham 3 people hadi muda huu
TAWIRI hakika huku wanaogelea kwenye pipa la asali, nlipokosa nliumia sana., daaa mkuu umenichekesha sanaa. Ila Taasisi zenye mpunga mkali ni zile zilizopo wizara ya maliasili na utalii, yaani ukiingia mule ni kuogelea kwenye Pipa la asali kila wakati, angalia mfano, TAWIRI, TAFORI, TFS, TAWA, TWMA n.k