Uliwezaje kuanzisha au kukubali kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi umri?

Mtanzanyika

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
370
425
Habari ya jioni wakuu,

Maisha ya mahusiano ya kimapenzi yana visa vingi sana. Inawezekana umewahi au upo kwenye mahusiano na mtu aliyekuzidi umri, ebu tupate experience mbali mbali ilikuaje kuaje mpaka mkaingia kwenye mahusiano.

Kwa upande wangu alikuwa ni Mkuu wangu idara, alinipita miaka 20, ukaribu wetu wa kikazi na kunishirikisha mambo yake mengi ya kimaisha ikatufanya tujenge ukaribu mkubwa sana na mwisho wa siku kuingia kwenye mahusiano. Yalikuwa mahusiano ya siri sana na yanaendelea mpaka leo.

Karibu kwa experience mbali mbali.
 
Tulizoeana kwenye harakati za kutafuta mtu wa kunichoma sindano za masaa baada ya kubanwa sana na kifua msimu wa baridi, baada ya pale tukaanza kuzoeana na kupiga stori tukaanza kubembelezana, Ule mshangazi ni mtamu, msafi, hauna vizinga vya hapa na pale. Unajua kunyanduana na siuachi japo una wivu sana na amenizidi miaka 16.
 
Habari ya jioni wakuu..!!

Maisha ya mahusiano ya kimapenzi yana visa vingi sana. Inawezekana umewahi au upo kwenye mahusiano na mtu aliyekuzidi umri, ebu tupate experience mbali mbali ilikuaje kuaje mpaka mkaingia kwenye mahusiano... kwa upande wangu alikuwa ni Mkuu wangu idara, alinipita miaka 20, ukaribu wetu wa kikazi na kunishirikisha mambo yake mengi ya kimaisha ikatufanya tujenge ukaribu mkubwa sana na mwisho wa siku kuingia kwenye mahusiano. Yalikuwa mahusiano ya siri sana na yanaendelea mpaka leo.
Karibu kwa experience mbali mbali
Bado maelezo yako hayatoshi funguka zaidi tulete visa.
 
Ni wale wamama wanaokuja masomoni kujiendeleza wakiwa watu wazima, alikuwa na watoto watatu wakati huo mimi kijana mbichi nampa heshima yooote. Masomo yalikuwa yakimfua mno!

Nilimpiga tafu kwa kiwango nilichoweza na si haba ilimsaidia sana kwenye matokeo ya assignment na course works kwa ujumla.

Sijui ni nini kilitokea màake kupiga miti kwa design ile ni zaidi ya hatari. Kula maQu ile hadi mshangazi ule unamwaga chozi la huba, penzi motomoto.
 
Nimekumbuka mbali.

Miaka 4 iliyopita nilikuwa na dada yangu ambaye anafanya kazi Halmashauri flani kama afisa mipango miji.

Boss wa sista alikuwa ni shangazi wa kama miaka 45 hivi. By then mimi nilikuwa na miaka 28. Kuna siku nilimkuta barabarani tairi ya gari yake ina pancha nikasimama. Nikamuomba atoe tairi ya spea na jeki. Nikavua tai, nikapiga jeki, nikambadilishia tairi, nikamuomba aniachie ile tairi yenye pancha nikamzibie then nitampelekea kwake, akakubali. Tukabadilishana namba tukaachana. Sikumwambia sista chochote.

Kesho yake nikampigia nikamwambia tairi ya gari yake iko tayari. Akaniambia tukutane kwenye pub moja hivi. Ule muda ulipofika tukakutana nikampatia tairi yake. Kilichomshangaza ni kwanini sikumwambia sista chochote, alitegemea sista amuulize ile kesho yake, sista akaonekana hajui chochote, alidhani ningemsimulia sista kila kitu. Akaniona msiri sana.

Kesho kutwa yake akanialika kwake. Akapika, nikala, ghafla mvua ikaanza kunyesha. Akanisogelea akajilaza begani kwangu. Kilichofuata mnakijua.

Nimedumu naye kwa miezi kama 3 ndio sista akaja kujua manake kuna wambea walimwambia wanaona sana gari yangu inapaki kwake. Sista akaniuliza nikabisha. Sasa sista akawa anaogopa kumuuliza kwasababu ni boss wake.

Nikaendelea kumla. Alinipenda sana. Alikuwa ananihonga isivyo kawaida. Ameolewa mwaka jana na kijana mmoja mfanyabiashara. Kumbe alikuwa ana stress za kupata wachumba na kukimbiwa nao.

Ninavyoandika hii comment hapa huyo mmama ni Mkurugenzi wa Halmashauri flani hapa nchini na ananipenda mpaka kesho. Nikikohoa tu muamala huu hapa.

Tena umenikumbusha ngoja nimcheki anitumie chochote nikamwagilie moyo..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Dah wacha ni nyamaze nimeajiliwa moja ya kampuni kubwa ya simu upande wa kuhudumia wateja.. kazi hii naipenda ila inachangamoto sana maana inakufanya uwe malaya sana.

Ninaumri wa miaka 25,na kwenye kazi hii na miaka 5 nilipata mteja siku moja Mama wa makamo amezaliwa 1968 aliefika kwa Dada jirani yangu akiwa na tatizo la kushindwa download Picha Mnato na Videos (namaanisha picha za X) ndio usishangae.

kwakua dada ni mshika dini na ni swala safi alishindwa na ndipo Mama akaanza toa matusi makubwa, kwakua nlikua pembeni nikamtuliza Mama nikamuhudumia nikamueleza kua huduma iyo imefungwa na TCRA na wamefunga link zote zinazohusu X nikampa mbadala wakuzipata.

Baada ya apo tulibadilishana namba na kweli tukaanza chart Mama ayu anapenda sana ngono na ananipenda sana ila ni mtu ambae amedhurura sana nchi nyingi ata tembea yake unaisi kabisa Mama kaukwaa

Yani kunakipindi ananitumia picha za uchi wake nabaki njia panda nipite nae au nimpotezee maana ata ndomu pia uwa zinadunda nisije unganishwa grade ya Taifa

Just imagine 1968-1998 mtu kanizidi miaka 30
 
Ni wale wamama wanaokuja masomoni kujiendeleza wakiwa watu wazima, alikuwa na watoto watatu wakati huo mimi kijana mbichi nampa heshima yooote. Masomo yalikuwa yakimfua mno!

Nilimpiga tafu kwa kiwango nilichoweza na si haba ilimsaidia sana kwenye matokeo ya assignment na course works kwa ujumla.

Sijui ni nini kilitokea màake kupiga miti kwa design ile ni zaidi ya hatari. Kula maQu ile hadi mshangazi ule unamwaga chozi la huba, penzi motomoto.
Chuo gani ilikuwa.?
 
Nimekumbuka mbali.

Miaka 4 iliyopita nilikuwa na dada yangu ambaye anafanya kazi Halmashauri flani kama afisa mipango miji.

Boss wa sista alikuwa ni shangazi wa kama miaka 45 hivi. By then mimi nilikuwa na miaka 28. Kuna siku nilimkuta barabarani tairi ya gari yake ina pancha nikasimama. Nikamuomba atoe tairi ya spea na jeki. Nikavua tai, nikapiga jeki, nikambadilishia tairi, nikamuomba aniachie ile tairi yenye pancha nikamzibie then nitampelekea kwake, akakubali. Tukabadilishana namba tukaachana. Sikumwambia sista chochote.

Kesho yake nikampigia nikamwambia tairi ya gari yake iko tayari. Akaniambia tukutane kwenye pub moja hivi. Ule muda ulipofika tukakutana nikampatia tairi yake. Kilichomshangaza ni kwanini sikumwambia sista chochote, alitegemea sista amuulize ile kesho yake, sista akaonekana hajui chochote, alidhani ningemsimulia sista kila kitu. Akaniona msiri sana.

Kesho kutwa yake akanialika kwake. Akapika, nikala, ghafla mvua ikaanza kunyesha. Akanisogelea akajilaza begani kwangu. Kilichofuata mnakijua.

Nimedumu naye kwa miezi kama 3 ndio sista akaja kujua manake kuna wambea walimwambia wanaona sana gari yangu inapaki kwake. Sista akaniuliza nikabisha. Sasa sista akawa anaogopa kumuuliza kwasababu ni boss wake.

Nikaendelea kumla. Alinipenda sana. Alikuwa ananihonga isivyo kawaida. Ameolewa mwaka jana na kijana mmoja mfanyabiashara. Kumbe alikuwa ana stress za kupata wachumba na kukimbiwa nao.

Ninavyoandika hii comment hapa huyo mmama ni Mkurugenzi wa Halmashauri flani hapa nchini na ananipenda mpaka kesho. Nikikohoa tu muamala huu hapa.

Tena umenikumbusha ngoja nimcheki anitumie chochote nikamwagilie moyo..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
oyaaa Ogaranya Penseli 4 njoo usome hii bro mashangazi si haba😂
 
Oshey mr money igwe. mshamba_hachekwi we hukupataga mkuu. Kama bado kaoge baharini 🤣🤣🤣🤣. Usione nashinda mitandaoni na kula ma wali wali kuna limama nalikamua 😅😅😅😅.

We hushtuki vurugu zimeisha vitunguu saumu kwa sana 😆😆
 
Back
Top Bottom