Msaada: TAMISEMI hutoa kiasi gani cha pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

Kuna halmashauri kama ya bukoba, Iringa vijijini wameambiwa wasiende kazini mpaka tarehe 22/7 siku wakiingiziwa mshahara ndio waende, sasa wadau wansuliza ina maana pesa ya kujikimu ndio basi tena, hivi hii imekaaje😂😂😂😂😂😂
 
Nmelejea kwenu tena wadau, sijakataa kwenda ila nilipo pangwa ni ni ndani uko chimbo kabsa kias kwamba ata maji kupata kipengere, sasa kwenye harakat za kwenda nkajikopea kaela ka kunifkisha tsh.100000/= nikijua nitakutan na mpunga ambao utanikim ad nipate salar.

Picha linaanza laki yote imeishia safar na kulala gesti siku moja uko nilipo kwenda kulipot,
Nkasema so kes ntajikaza nikipewa pesa ya kujikimu nkajaza fomu.

Wakaja wadau wa benk mfukon nina elf 5 tu waniunge na bank xxxxxxxxxx siwez itaja nkamwambia yule tailler wa bank me sna pesa kama unaeza niunga ntakupa badae tukipewa pesa ya kujikimu fresh.

Mdau akanielewa akaniunga,,,nmemaliza kila kitu nkawambia boss me ndi nmekuja kuripot na kuanza kaz kabisa sema sina kitu kabsa kama ofis ita niwezesha kwenye pesa ya kujikimu na ya nauli iliyo nileta ntashukuru sana.

Nikaambiwa pesa zakujikimu zipo japo azijulikan ztatoka lini ko we ambatanisha na tiket zako usubir had ztapo toka kichwa kikawaka moto nkauliza tena boss nilipo toka n mbali kanda maharum had kufk uku nmetumia pesa yote amna namna ofis inaweza niangalia maan nkisema niende nirud n gharama mara mbili jibu nkaambiwa n kusubil pesa tu hyo itoke maana amna namna.

Hyo yapata saa saba apo n halmashaur ya wilaya ofsin kutoka apo kwenda nlipo pangwa bado kuna safar so kitoto af n barabara ya vumbi sjala toka usiku toka nliv kula ugar na kununua maji ambay nilitumia af 4500/= kutokana na har ya maisha ya eneo husika nilikula ugar nyama choma 3500/= ata sikushiba wadau nkabid n chukue na maji ili kubala ce njaa.

Nikawaza njaa imenikwarua mbaya pesa sina hata nikienda ripot kazin ntaishije sina pesa nkiwa nmekaa ofisin madam mmoja akauliza kwan hauna pesa kabsa nkamwambia ndio na unapo takiwa kwenda kwenye kituo chako cha kaz ujawaifika kabsa nkasema ndio,,,kama akatafakar kidog akaniangalia akasema na uku hauna ndugu nkamwambia ndio akanambia sasa apa cha kukusaidia jaza form ya kuomba muda wa siku 14 urud ukajipange angalia mkoa uliop karb kama unandugu uende ukapumzike uku ukiangalia namna ya kurud.

Baada ya kumaliza jaz fom akanambia ko unaondoka leo nkamjib ndio akanambia niwai stand maana gar za kutok uko na kwenda napo taka mwisho n saa nane mchana.

Nkatoka ofisin nkapata pikipik chap nkafka guest nkajiandaa ile natoka muhudum akanizuia akasema mda ulikuwa umesha isha toka saa nne asubuh ww ujatoa taarfa ko inatakiwa ulipie kumbuka apo mfukon nmebak na 4000 ikabd nmuonbe jamaa sanaa kama nusu saa hv akanambia npe hyo elfu nne nkampa nkatoka na beg zangu uzur nilipo lala na stand so mbali nkatembea nia yangu nkupanda gar nmeambie ela ntaenda kukupea nbele tkifka apa sn kitu. kufka stand gar imesha ondoka.

Nkashauriwa niende njia panda uwa kuna private car na maloli ya kwenda dsm na dom ntaweza bahatisha nkaomba wa nielekeze nkaelekezwa nkafka kwa kuulza nkaa pae had saa kum kam na nusu apo nepata mdau akanfadhili elf kum m-pesa
Nkadandia gar hiace kufka rob ya safar gar ikaharbika af polin yapata saa 12 simamisha gar sana had za serikal zna tupita bahat nzur nkabahatisha loli la kubeba mbuzi linatokea arusha ndo nkapanda akaomba ela nkampa elf 5000 nkaishiwa ela tena.

Nikiwa safar nkaomba tena udhamin wa pesa kwa mdau mwingine nkapata tena elf 12000/= tukabahatika kufka njia panda kama saa tatu usiku njaa isha piga had natetemeka nkashuka nkakaa baravaran nasmamisha gar za kutoka dsm znazo enda dom zkagima smama nkabahatsha gar moja inaishia sehem moja inaitwa chalinze nyama yanapenda paki maloli yanayotoka dar kufka apo nkama saa nn usiku nkashuka nkaenda toa ela nkampa elf tano yake nkasubir gar nkabahatisha nyingine had nafika dodoma cbe n saa tano na nus nmechoka mbaya plus njaa.

Had leo nipo dom nasikilizia ela ya kujikimu ili nikaripot na haija toka had sasa. Na pesa yenyewe n lak 4/= bado sjalipa madeni
Wakat kuna mdau alinipa dokezo kuwa yy alienda lipot uko shy. Wanapewa mil.1 na point zake.
Na siku zangu kumi na nne znaenda isha nawaza namna ya kwenda kuanza sna chochote ndo maana nkaja kwenu wadau kujua mbivu na mbichi

Japo kuna mtumishi nilijarb kumuoj kama najua kitu niliv enda kwa dmo. Nkamwambia mbona pesa hawamu hii wametoa ndogo kuliko hata mwaka jana walitoa tsh 700000/= akawa anajib kama anajikanyag,mara mbona zipo flat mara malipo naona yapo sawa tu mwisho wasku akaondoka gafla akaniacha apo.

SASA WADAU EB SAIDIEN MAANA AJIRA MPYA TUNATESEKA. APA NAWAZA NAMNA YA KURUD KURIPOT SIKU NAZO ZNAENDA ZNAISHA.

natanguliza shukrani zenu nisamehen kwa mwandiko wangu.
 
Kuna halmashauri kama ya bukoba, Iringa vijijini wameambiwa wasiende kazini mpaka tarehe 22/7 siku wakiingiziwa mshahara ndio waende, sasa wadau wansuliza ina maana pesa ya kujikimu ndio basi tena, hivi hii imekaaje
🥹
 
Duuu pole sanaa, Wewe uliwasiliana na mkuu wako wa kituo?
 
Ukipata muda soma sheria za utumishi zimeainisha kua pesa ya kujikimu ni 150 per day kwa siku 7 total ni 1050,000 plus nauli
Before ilikua ni siku 14 wakachange
 
Habari wana jamvi, bila shaka mko poa. Poleni kwa hoja za bandari na DP World.

Sasa kuna jambo naombeni wajuzi mnisaidie, hivi pesa stahiki anayopaswa kulipwa mtumishi wa ajira mpya zinazotolewa na TAMISEMI katika halmashauli za wilaya uwa ni kiasi gani yaani huwa ni Tsh. ngapi?

Pia naomba kujuzwa. Je, kila halmashauri znakuwa znatofautiana kiasi cha malipo?

Njooni wadau mnipe nondo hapa. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Itategemeana unaenda wilaya gani .Ila kama unaenda wilaya kama Rorya Mkoani Mara hawana hela ya kujikimu kabisa
 
Nmelejea kwenu tena wadau, sijakataa kwenda ila nilipo pangwa ni ni ndani uko chimbo kabsa kias kwamba ata maji kupata kipengere, sasa kwenye harakat za kwenda nkajikopea kaela ka kunifkisha tsh.100000/= nikijua nitakutan na mpunga ambao utanikim ad nipate salar.

Picha linaanza laki yote imeishia safar na kulala gesti siku moja uko nilipo kwenda kulipot,
Nkasema so kes ntajikaza nikipewa pesa ya kujikimu nkajaza fomu.

Wakaja wadau wa benk mfukon nina elf 5 tu waniunge na bank xxxxxxxxxx siwez itaja nkamwambia yule tailler wa bank me sna pesa kama unaeza niunga ntakupa badae tukipewa pesa ya kujikimu fresh.

Mdau akanielewa akaniunga,,,nmemaliza kila kitu nkawambia boss me ndi nmekuja kuripot na kuanza kaz kabisa sema sina kitu kabsa kama ofis ita niwezesha kwenye pesa ya kujikimu na ya nauli iliyo nileta ntashukuru sana.

Nikaambiwa pesa zakujikimu zipo japo azijulikan ztatoka lini ko we ambatanisha na tiket zako usubir had ztapo toka kichwa kikawaka moto nkauliza tena boss nilipo toka n mbali kanda maharum had kufk uku nmetumia pesa yote amna namna ofis inaweza niangalia maan nkisema niende nirud n gharama mara mbili jibu nkaambiwa n kusubil pesa tu hyo itoke maana amna namna.

Hyo yapata saa saba apo n halmashaur ya wilaya ofsin kutoka apo kwenda nlipo pangwa bado kuna safar so kitoto af n barabara ya vumbi sjala toka usiku toka nliv kula ugar na kununua maji ambay nilitumia af 4500/= kutokana na har ya maisha ya eneo husika nilikula ugar nyama choma 3500/= ata sikushiba wadau nkabid n chukue na maji ili kubala ce njaa.

Nikawaza njaa imenikwarua mbaya pesa sina hata nikienda ripot kazin ntaishije sina pesa nkiwa nmekaa ofisin madam mmoja akauliza kwan hauna pesa kabsa nkamwambia ndio na unapo takiwa kwenda kwenye kituo chako cha kaz ujawaifika kabsa nkasema ndio,,,kama akatafakar kidog akaniangalia akasema na uku hauna ndugu nkamwambia ndio akanambia sasa apa cha kukusaidia jaza form ya kuomba muda wa siku 14 urud ukajipange angalia mkoa uliop karb kama unandugu uende ukapumzike uku ukiangalia namna ya kurud.

Baada ya kumaliza jaz fom akanambia ko unaondoka leo nkamjib ndio akanambia niwai stand maana gar za kutok uko na kwenda napo taka mwisho n saa nane mchana.

Nkatoka ofisin nkapata pikipik chap nkafka guest nkajiandaa ile natoka muhudum akanizuia akasema mda ulikuwa umesha isha toka saa nne asubuh ww ujatoa taarfa ko inatakiwa ulipie kumbuka apo mfukon nmebak na 4000 ikabd nmuonbe jamaa sanaa kama nusu saa hv akanambia npe hyo elfu nne nkampa nkatoka na beg zangu uzur nilipo lala na stand so mbali nkatembea nia yangu nkupanda gar nmeambie ela ntaenda kukupea nbele tkifka apa sn kitu. kufka stand gar imesha ondoka.

Nkashauriwa niende njia panda uwa kuna private car na maloli ya kwenda dsm na dom ntaweza bahatisha nkaomba wa nielekeze nkaelekezwa nkafka kwa kuulza nkaa pae had saa kum kam na nusu apo nepata mdau akanfadhili elf kum m-pesa
Nkadandia gar hiace kufka rob ya safar gar ikaharbika af polin yapata saa 12 simamisha gar sana had za serikal zna tupita bahat nzur nkabahatisha loli la kubeba mbuzi linatokea arusha ndo nkapanda akaomba ela nkampa elf 5000 nkaishiwa ela tena.

Nikiwa safar nkaomba tena udhamin wa pesa kwa mdau mwingine nkapata tena elf 12000/= tukabahatika kufka njia panda kama saa tatu usiku njaa isha piga had natetemeka nkashuka nkakaa baravaran nasmamisha gar za kutoka dsm znazo enda dom zkagima smama nkabahatsha gar moja inaishia sehem moja inaitwa chalinze nyama yanapenda paki maloli yanayotoka dar kufka apo nkama saa nn usiku nkashuka nkaenda toa ela nkampa elf tano yake nkasubir gar nkabahatisha nyingine had nafika dodoma cbe n saa tano na nus nmechoka mbaya plus njaa.

Had leo nipo dom nasikilizia ela ya kujikimu ili nikaripot na haija toka had sasa. Na pesa yenyewe n lak 4/= bado sjalipa madeni
Wakat kuna mdau alinipa dokezo kuwa yy alienda lipot uko shy. Wanapewa mil.1 na point zake.
Na siku zangu kumi na nne znaenda isha nawaza namna ya kwenda kuanza sna chochote ndo maana nkaja kwenu wadau kujua mbivu na mbichi

Japo kuna mtumishi nilijarb kumuoj kama najua kitu niliv enda kwa dmo. Nkamwambia mbona pesa hawamu hii wametoa ndogo kuliko hata mwaka jana walitoa tsh 700000/= akawa anajib kama anajikanyag,mara mbona zipo flat mara malipo naona yapo sawa tu mwisho wasku akaondoka gafla akaniacha apo.

SASA WADAU EB SAIDIEN MAANA AJIRA MPYA TUNATESEKA. APA NAWAZA NAMNA YA KURUD KURIPOT SIKU NAZO ZNAENDA ZNAISHA.

natanguliza shukrani zenu nisamehen kwa mwandiko wangu.
Umenichekesha Sana mkuu ila pole Kwa changamoto maana Kwa nijuavyo ili hiyo hela itoke Hadi halmashauri zipokee maelekezo ya nini cha kufanya kutoka serikali kuu
 
Ukipata muda soma sheria za utumishi zimeainisha kua pesa ya kujikimu ni 150 per day kwa siku 7 total ni 1050,000 plus nauli
Before ilikua ni siku 14 wakachange
Hii ni kwa aliyepangwa jijini au manispaa mwenye shahada. Inashuka kadri kiwango cha mshahara kinavyoshuka na hadhi ya sehemu ulipopangwa. Sina uhakika wa siku kama zimekuwa 7 badala ya 14.

Maswali yake alipaswa kumuuliza mwajiri wake siku aliyofika hapo Halmashauri na kupokelewa. Huyu dogo anajua na hapo juu kasema alijaza fomu na kataja kiasi anachosubiri.

Pamoja na mimi kutokuwa kwenye utumishi lakini najua hii taarifa ya viwango vya kujikimu kwa kila ngazi ya mshahara zipo wazi mitandaoni na ilitolewa na Katibu Mkuu, Menejimenti ya utumishi wa umma mwaka 2022 kwenye vyombo vya habari kwa mfuatiliaji anajua.

Kinachowabeba kwenye pesa ya kujikimu ni kiwango cha ngazi ya mshahara na wapi umepangwa.

Mwenye degree, stahahada au astashahada aliyepangwa jijini analipwa sawa na wenzake wenye shahada, stashahada au astashahada waliopangwa Manispaa. Aliyepangwa kwenye Wilaya iliyobeba makao makuu ya mkoa ambayo si manispaa au jiji yeye analipwa tofauti na hao wa jijiji na Manispaa. Vilevile aliyepangwa kwenye wilaya za kawaida analipwa tofauti na hao wengine.

Mfano mwenye degree ya pharmacy na aliyepangwa jijini au manispaa analipwa hicho kiwango cha 150k, lakini mwenye degree hiyo hiyo na akapangwa kwenye makao makuu ya mkoa ambayo si jiji au manispaa ni chini ya hapo na aliyepangwa wilaya zingine naye ni chini ya huyo wa makao makuu.
 
Umenichekesha Sana mkuu ila pole Kwa changamoto maana Kwa nijuavyo ili hiyo hela itoke Hadi halmashauri zipokee maelekezo ya nini cha kufanya kutoka serikali kuu
Mkuu msovero.
Hapo kuna mambo sja yasem asee nmeptia ki har flan hv ndan ya sku mbili, kipind gar imetuharbikia polin tmezngirwa na milima na miti katikat ndo barabara.

Niliwaza meng sana had nkawaza....nkafikir kuhusuana na watumish wanavyo ish mazngira magumu nkaelewa n kwnn kuna watu wanamaliza had miaka 4 awajaenda kwao ata ingetokea matatzo vp kutma pesa napo n kipengere

Kuna watu wanaishi, af kuna watu wanaish mazingira magumu na kuna watumishi wanaishi na kuishilia mazingira magumu af kuna wanasiasa bado wanafanya mazingira ya wanao ishi yazidi kuwa magumu....🥹🥹🥹.

Amna namna.
 
Back
Top Bottom