Safi sana mleta mada. Ngoja tujaribu. Ila IELTS, TOEFL na GRE ni kikwazo kikubwa sana kwenye kuomba scholarship za nje maana ad ya kuganya hizo test siyo pesa ndogo.
 
Kuna vyuo havihitaji hizo test
 
Vipi mtu akikosa baada ya kumfanyia hayo maombi, hiyo pesa inarudi au kiendacho kwa mganga hakirudi
Gharama anayoilipia hapo sidhani kama ina utofauti kama mteja akijiombea mwenyewe. Mteja anachagua kuomba mwenyewe au kuja kwetu tumsaidie. Tuna uhakika akiamua kuomba mwenyewe nguvu atakayo itumia itakua sawasawa na gharama ya pesa anayoilipia tukiamua kumsaidia.
 
Kuapply huwa siyo kazi sana maana mifumo ipo wazi. Changamoto labda ni namna ya kuandika motivation letter, study plan kwa baadhi ya level, kupata recommendations, english language certificate/proof of english language.

Hapo kwa upande wenu ni kipi hasa mnasaidia?
 
@Meneja Wa Makampuni
 
1. Kujaza fomu za maombi ya scholarship na vyuo.
2. Kuandaa documents zinazohitajika wakati wa maombi.
3. Kutoa ushauri juu ya maombi kwaujumla pamoja uandaaji wa documents zinatumika wakati wa maombi.
 
Back
Top Bottom