Search results

  1. goodfool

    Uhusiano kati ya suala la DPW, kutukanwa Rais na ugumu wa maisha

    Watu wengi hasa vijana wamekua wakipinga kwanguvu na kwa lugha ngumu na msisitizo kuwa Bandari isipewe wawekezaji. Je kuna uhusiano kuwa wengi wao na ndugu zao wananufaika na ajira za Bandarini na mishe mishe za pale ambazo wanahisi muwekezaji itakua ndo mwisho wa wao kula? Je ukosefu wa ajira...
  2. goodfool

    Ikoje likizo bila malipo?

    Wakuu habari Mwenye uelewa na Likizo bila malipo kwa watumishi kama wa afya, elimu na serikali kuu anieleweshe Je kuna ukomo Je utaratibu ukoje. Asante
  3. goodfool

    Naomba wazo la biashara ya kuanzisha kwa mtaji wa milioni 5

    Wakuu habari, poleni na majukumu ya hapa na pale. Umepewa 5,000,000 na umeambiwa uchague kuanzisha kati ya biashara zifuatazo. Uuzaji wa chuma za aluminums na vifaa vyake Duka la simu na accessories zake Duka la vifaq vya ujenzi Unahitajika ushauri, maoni, mapendekezo, uzoefu
  4. goodfool

    Kugharimu maisha ya mamilioni ya vijana wa Tanzania, nini kingetumika

    Kama kuna kitu kingetegeshwa ili kugharimu maisha ya mamilioni ya vijana wa Tanzania, nini kingetumika kati ya hivi[emoji116] [emoji3591]iPhone 14 pro ya bure [emoji3591]Nafasi ya Ajira ya benki [emoji3591]Shamba la bure [emoji3591]Degree ya theolojia bure [emoji3591]Mkopo wa USD $400...
  5. goodfool

    Je, bajeti ya mwaka huu 2023 ilionesha mchanganuo wa nyongeza ya mshahara?

    Habari ndugu zangu. Kumekua na hisia tofauti juu ya kutokowepo kwa nyongeza ya mishahara. Je bajeti ya mwaka huu ilionyesha mchanganuo wa INCREMENT
  6. goodfool

    Msaada: Wakala au ATM waweza toa pesa nyingi?

    Nitoeni ushamba, Je, wapi unaweza toa pesa kwa mkupuo kiasi zaidi ya M5 iwapo kwa ATM limit ni 2 milioni.
  7. goodfool

    Msaada kuua au kuwafukuza nyuki na wasirudi tena kwenye nyumba yangu

    Wakuu naombeni msaada wa mawazo na wa haraka, nyuki wameua mifugo yote jana Pia mjakazi amelazwa kwa kushambuliwa na. Nyuki, Nyuki wapi juu ya dari, yani kwenye jipsam bodi juu, siwez kuwasha moto huko juu Wana miaka kama miwili hukonjuu, Niwaue kwa dawa gani na nifanyeje wasije kurudi tena...
  8. goodfool

    Kusoma Sheria Open University

    Naomba kujuzwa kama naweza kusoma sheria huku nikiwa sipo chuoni moja kwa moja. Yaani nikiwa naendelea na shughuli zingine. Naomba list ya vyuo kama vipo, vya Tanzania pekee, gharama na jinsi ya kujiunga. Asanteni.
  9. goodfool

    Je, ulipaji kodi wa kampuni ukoje?

    Naomba kufahamu, iwapo nitafungua kampuni yangu nitalipa Kodi kwa utaratibu sawa na ambaye hana kampuni? Nimesikia mara kadhaa kua kampuni inalipa Kodi kulingana na faida inayopata, je ni sahihi? Asante.
  10. goodfool

    Naomba kujua website itakayoniwezesha kutengeneza blog kwa bei nafuu

    Habari zenu, Je, website gani naweza kutengeneza site na blogu bure au kwa gharama nafuu ambazo zinawea kupatikana kwenye google search. Yaani niki-search Google niweze kuiona website au blogu yangu. Pia naomba kufahamu ni namna gani naweza ku-publish content za blogu yangu kwenye Opera News...
  11. goodfool

    feni ya Friji PANASONIC 602L inahitajika

    Wakuu nawasalimu kwa lugha zote,, Mmiliki wa ya friji tajwa hapo juu anahitaji feni lake la mlango wa juu sehemu ya kupozea. Pia anaomba msaada na ushauri wa kiufundi juu ya ulaji mkubwa wa umeme wa friji hii tofauti na ilivyokua mpya. Yan umeme unit za 1500/= per day.
  12. goodfool

    Je, haya ni madini? Yanaitwaje? Yana thamani?

    Ndugu zangu nimekaa na haya mawe since niko under 18 mpaka sasa nina umri wa makonda, najiuliza ni madini au nini, kama ni madini je yanathamani?je yanatumika kufanya nini, kazi yake),, kama ni madini niambieni, nisije nkapeleka soko la madini nikasukumwa ndani kwa kosa la kutaka kujipatia...
  13. goodfool

    Tofauti ya online store na buy and sell platform

    Wakuu Naomba kujua ya nilivyotaja hapa juu, Namna ya kuanzisha moja wapo, gharama, utaratibu wa malipo na uendeshaji. Asante. Kama nimekosea nirekebishe. Asante.
  14. goodfool

    Yani KIA sorrento ex haijazungumziwa kabisa hapa JF!!!!?

    Wakui habari, Hakuna chanzo kizuri cha habari, taarifa na maarifa utaorodhesha hapa Tz bila ukaicha, JF, Miaka kadhaa ninakwama kununua gari kutokana na sababu binafsi, nakua na subra, Mwezi wa tatu huu, nimetuliza akili napita huko be4ward, kupatana, olx, jiji, zoom hapa jf kujifunza...
  15. goodfool

    Je, kuna visa vya dengue Ifakara/Mororgoro

    Ndugu watanzania naomba kufahamu kama mamlaka zimeripoti visa vya dengue huko Morogoro hasa maeneo ya ndani ndani, Hivi naandika hapa kuna ndugu yangu alikuwa huko, juzi ameanza safari ya kuja singida, amekwamia Dodoma, anaumwa sana, Kapima kapatikana na malaria, kapewa Dawa kama SP, Katumia...
  16. goodfool

    Gharama za license/kibali cha kufungua YouTube channel

    Naomba kufahamu gharama za kufungua YouTube channel kwa sasa, maaana nimeshuhudia kwenye media baadhi ya watu wakiburuzwa mahakamani kwa kutokua na vibali vya kuchapisha maudhui YouTube hapa tz. Sielewi chochote mwenye information basi ashee nami. Asante.
  17. goodfool

    Kwa wanaoelewa vizuri chuo cha CFR

    Watanzania wenzangu hamjambo, kwa wale wenye stress kama Mimi poleni, tujipe moyo. Naomba kwa wale wanaohahamu vizuri chuo cha DIPLOMASIA kiichopo pale kurasini watujuze. Wengine Dar hatupajui, Je, Chuo hichi kina mfumo gani? Kuna hostels au unapanga, Je kuna Uhuru wa mtu kufanya haakati...
  18. goodfool

    Msaada Mabadiliko ya ITV C band

    Ndugu wana jf habari za mapumziko ya sikukuu? Ninaomba kwa aliyefanikiwa ku set Chanel za IPP toka mabadiliko ya May 31 atusaidie. Tunafanya installation kama walivyoelekeza ila hakuna signals, Je kuna haja ya Ku adjust uelekeo wa dish, au vinginevyo, tupeni msaada tafadhali. Asante.
  19. goodfool

    Ni hatua gani za kisheria naweza kuchukua iwapo Tin namba yangu itakuwa imetumika kutengeneza Till za uwakala bila ridhaa yangu?

    Poleni watanzania wote kwa misiba iliyotufika mwezi huu. Natumai hamjambo. Kama nitakuwa nimeeleweka, Naomba kwa mwenye kufahamu nililowasilisha anisaidie kutafsiri sheria au anipe mawazo. Je iwapo nimepeleka viambata vyote husika kwa muhusika anayeshughulikia masuala ya code za uwakala...
  20. goodfool

    Jinsi kutembea na HIV test kwenye begi kulivyoninusuru na maambukizi Mara 6 (asante mungu)

    Hamjambo, Naamimi kuwa wapo watu ambao matumizi ya kondomu ni changamotoa kwao. Im the one! Siwaaminishi kuwa kumpima mtu HIV nakumpata yuko salama kuwa ni tiketi yakutotumia kinga "condom" *hapana* Kuna magonjwa mengne mengi ya ngono kama kaswende, gonorea na hata HPV au Hepatitis. Hapa...
Back
Top Bottom