Je, haya ni madini? Yanaitwaje? Yana thamani?

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Ndugu zangu nimekaa na haya mawe since niko under 18 mpaka sasa nina umri wa makonda, najiuliza ni madini au nini, kama ni madini je yanathamani?je yanatumika kufanya nini, kazi yake),,

kama ni madini niambieni, nisije nkapeleka soko la madini nikasukumwa ndani kwa kosa la kutaka kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu.

nawasilisha.
 
Attachments

  • IMG_20190731_170555.jpg
    IMG_20190731_170555.jpg
    228 KB · Views: 16
  • IMG_20190731_170559.jpg
    IMG_20190731_170559.jpg
    219.6 KB · Views: 15
  • IMG_20190731_170634.jpg
    IMG_20190731_170634.jpg
    190.8 KB · Views: 15
  • IMG_20190731_170647.jpg
    IMG_20190731_170647.jpg
    165.2 KB · Views: 14
  • IMG_20190731_170611.jpg
    IMG_20190731_170611.jpg
    236.3 KB · Views: 14
  • IMG_20190731_170634.jpg
    IMG_20190731_170634.jpg
    190.8 KB · Views: 14
BlueTourmaline (blue crystal),hayo uliyokuwa nayo yanathamani ndogo kiongozi.
Yanatumika sana kwenye maswala ya tiba....Watu wanaofanya meditation wanajuaa vizuri kazi za hizo crystal tourmaline..Ungekuwa unaishi Korea ungejipatiaa shikeli ya haraka haraka.
 
kumbe niyatupe tu hahhahha
 
Hayo ni madini almaarufu madini ya vito,Hizo vitu wazee wa nyota wanawekaga kwenye pete, kama kito cha pete na mambo mengine,

kuna Black,green,red tourmaline,hayo yakwako ni green
 
as
Hayo ni madini almaarufu madini ya vito,Hizo vitu wazee wa nyota wanawekaga kwenye pete, kama kito cha pete na mambo mengine,

kuna Black,green,red tourmaline,hayo yakwako ni green
[/QUasante mkuu, uumenielekeza vizur
 
Back
Top Bottom