Npm namba nikupe uzoefuunatakiwa kuanza foundation course kama hujafuzu ifa za direct
Mkuu mwaga uzoefu hapaNpm namba nikupe uzoefu
Unaapply ukipata unaenda kufanya registration .Ukilipia nusu ya fee unapata akaunti kwenye mfumo wao wa kujifunza unaitwa Moodle.Hapo utapata materials zote na pia hard copy unaeza pata.Kuna majukwaa ya discussion ,Kuna assignment huko.Mitihani Kuna annual na test hizo ndo zinaamua upate grade gani kwenye kozi.Ada Ni kwa unit na unit moja ni 60000Tshs.Nilipiga LLB 3 years kwa fee kama ya 3M na kidogo.Mkuu mwaga uzoefu hapa