Msaada kuua au kuwafukuza nyuki na wasirudi tena kwenye nyumba yangu

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Wakuu naombeni msaada wa mawazo na wa haraka, nyuki wameua mifugo yote jana

Pia mjakazi amelazwa kwa kushambuliwa na. Nyuki,

Nyuki wapi juu ya dari, yani kwenye jipsam bodi juu, siwez kuwasha moto huko juu

Wana miaka kama miwili hukonjuu,

Niwaue kwa dawa gani na nifanyeje wasije kurudi tena maishani.

Asanteni sana,

Help help
 
Kama sio mdau wa mazingira,
Nenda duka la pembejeo za kilimo nunua dawa ya maji ya kuua wadudu walao mboga mboga au nyanya chukua kachupa ladogo (farm guard ni aina mojawapo) na bei ki kama 3,000 to 5,000 kachanganye conc solution ipulizie darini au walipo jenga usiku wakiwa wamelala ili wote uwapate.

Kisha chukua litambara au nguo used chovya dawa kisha liweke ndani wanapoishi
Asubuhi utawazoa tu kama kumbikumbi na hakuna atakaye rudi.

Ila unakikuka haki za viumbe!

Achana na dawa za asili sijui nyuki wanafukuzwa kiasili or what waue wote na harufu hiyo hawatakaa waguse.
 
Dunia ya leo unaita mtu ''mjakazi''? Nyuki hawafukuzwi kwa kuwasha moto. Na kutumia sumu kama alivyoshauri member mmoja siyo vizuri na kosa. Tumia moshi. Kuna watu wenye utaalaam wa kufukuza nyuki kwa kutumia moshi tu. Wakishaondoka ndiyo unaweza kunyunyizia sumu ili wasirudi. BTW ulifanya uzembe kuwaachia wajenge makao hapo. Unge-deal nao tangu mwanzoni.
 
Asante mkuu, na je usiku hawata nidhuru
 
Dunia ya leo unaita mtu ''mjakazi''? Nyuki hawafukuzwi kwa kuwasha moto. Na kutumia sumu kama alivyoshauri member mmoja siyo vizuri na kosa. Tumia moshi. Kuna watu wenye utaalaam wa kufukuza nyuki kwa kutumia moshi tu. Wakishaondoka ndiyo unaweza kunyunyizia sumu ili wasirudi. BTW ulifanya uzembe kuwaachia wajenge makao hapo. Unge-deal nao tangu mwanzoni.
Sory mkuu Kwakwel sikupata jina la haraka kusema kijana wa kazi, kuhusu uzembe si kwel nilishaomba msaada chuo cha nyuk nikapigwa chenga,
 
Nenda kwenye maduka ya madawa kaulizie Vinegar,Boric acid, Garlic acid, watakuambia kiasi flani cha maji unachanganya halafu unatumia yale ma spry bootle kupuliza, utaokota wote,

Huwezi ukazungumzia haki za wadudu/wanyama ikiwa wao wamefanya mauaji,

Ila kama unaona huruma

Washa mshumaa juu ya dali, watakimbiaaa,

Wapelekee Sabufa huko dalini, weka singeli(inatakiwa mziki wenye kelele, sio ukawawekee R&B) piga mzigo mpk mwisho( hapa nakupa masaa)

Na wewe uoneshe ushirikiano sasa, inatakiwa utembee na mmoja baada ya mwingine physical.
 
Sory mkuu Kwakwel sikupata jina la haraka kusema kijana wa kazi, kuhusu uzembe si kwel nilishaomba msaada chuo cha nyuk nikapigwa chenga,
Mkuu pole. Kama uliomba msaada basi ulijitahidi japo ukiwa Tanzania inabidi ujue kuwa mkono mtupu..... au penye udhia penyeza....
 
Back
Top Bottom