Ikoje likizo bila malipo?

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Wakuu habari

Mwenye uelewa na Likizo bila malipo kwa watumishi kama wa afya, elimu na serikali kuu anieleweshe

Je kuna ukomo
Je utaratibu ukoje.

Asante
 
Kopa, andika barua ya kuacha kazi ukirudi unaomba kurudishwa. Likizo bila malipo hutapewa. Nakusihi ukope kurudisha fedha ya bandari mfukoni mwako.
 
Siku hizi ukiomba likizo kwenye kurudi watakusumbua kinyama,kama unaacha acha tu
 
Ukweli ndiyo huo. Likizo bila malipo zimekufa kifo cha mende labda kama wewe umeolewa na mwana diplomasia na amepangiwa kazi nje ya nchi ndo utapewa kirahisi. Kwahiyo njia rahisi ya kuold ajira ni kukopa tena kopa hadi 1/3 halafu andika barua ya kuacha. Hakikisha umeandika barua.
 
Back
Top Bottom