Naomba wazo la biashara ya kuanzisha kwa mtaji wa milioni 5

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Wakuu habari, poleni na majukumu ya hapa na pale.

Umepewa 5,000,000 na umeambiwa uchague kuanzisha kati ya biashara zifuatazo.

Uuzaji wa chuma za aluminums na vifaa vyake

Duka la simu na accessories zake

Duka la vifaq vya ujenzi

Unahitajika ushauri, maoni, mapendekezo, uzoefu
 
Toka nje ya mji kidogo
Uza pombe mixer za kienyeji
Supu,mishikaki etc
Onyesha mpira
 
Hizo hela ni nyingi sana kama hana mambo ya kitoz
Ref.mtazamo
sio nying kwa biashara alizotaja.. profile za aluminiums bei zake na accessors zake zilichangamka bei..same na hardware… upande wa simu labda anze na simu ndogo za batani na makava ya simu na sio zimu smartphones
 
Back
Top Bottom