Jinsi kutembea na HIV test kwenye begi kulivyoninusuru na maambukizi Mara 6 (asante mungu)

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Hamjambo,

Naamimi kuwa wapo watu ambao matumizi ya kondomu ni changamotoa kwao. Im the one!

Siwaaminishi kuwa kumpima mtu HIV nakumpata yuko salama kuwa ni tiketi yakutotumia kinga "condom" *hapana*

Kuna magonjwa mengne mengi ya ngono kama kaswende, gonorea na hata HPV au Hepatitis.

Hapa nazungimzia HIV.

Nimetembea na wanawake kadhaa na miongoni mwao nimefanikiwa kuwapima HIV,

Wapo ambao walikiri wanamaambukizi hata kabla hatujapima chumbani, kilichofanya nilale nao ni namna walivyojiweka wazi kuwa wanatumia dawa kitambo., hao sikutumia kinga ila nilichukua tahadhari.(KWAKWELI WATU WAPIME NA WAANZE DAWA)

Ambao ndo walikua ndo kwanza wameathirika kiukweli nilidoji kimafia.

Sasa ishu nayosema hapa ni yamotooo, yani Jana tu!!

NILIMPIGA DEM SUPU YA BUKU 3, LOJI 20'000, MWANAMKE NILIMPIMA NGOMA TENA ALIKUWA ANAJIAMINI SANA, NI DEM MKALI JAMANI JAMANI!!

NILISHIKA KIPIMO NA HARAKA KILISOMA MSTARI WA KWANZA!! KISHA WAPILI, NILIMWAMBIA HAKUNA KITU NGOJA NIKIWEKE BAFUNI KARIBU NA DIRISHA BADO HAKIJASOMA VIZURI.

NILIKITUPA CHOONI NIKAVUTA FLASHI, NIKAKIFLASH,

ALIULIZA KIKOWAPI NKAJIBU SABUNI NA KIPIMO VIMETELEZA KWE TUNDU.

Ase nlitoka nje na kuongea na Dada wa loji kamwambia nime cancel, iyo ela nirudishie 50%, alikubali, nlirudi ndani nkamwambia mtoto nauli hyo apo nimepata safari ya haraka, tutapanga day ingine.

Ee mungu unisamehe!!

SASA NASEMA UKIMWI UPO JAPO MIMI SI DAKITARI PENGINE KILE KIPIMO KILISOMA STDIs (ila sidhani!!!) Maaana hakijawahi kwepesha toka nimeanza kukitumia.

Ila historia ya huyo binti alikuwa kuku mweupe mtaani,baadaye akaja akatulia kabisaaa, hulka zake na majibu ya jana vinashabihiana,

Kischana cha 19-21 huna kazi wala biashara unasuka misuko kila asubuhi, safari haziishi, kweli njia za kutafuta matatizo zinahusisha starehe. Mabinti TEKINI CARE.

Ukihangaika lazima UKIMWI UUPATE.

UKIMIWI UPO, MUNGU YUPO.

VIJANA TUJICHUNGE.

NAWASILISHA.
 
Ila unajidanganya mzee, maana kuna wanaotumia dawa vizuri hivyo vipimo haviwaonyeshi kabisaaa yaani vinasoma hana, mpaka akapimwe kwenye vipimo vikubwa ndio vinasoma viral load yake. Ila pole
Hamjambo,

Naamimi kuwa wapo watu ambao matumizi ya kondomu ni changamotoa kwao. Im the one!

Siwaaminishi kuwa kumpima mtu HIV nakumpata yuko salama kuwa ni tiketi yakutotumia kinga "condom" *hapana*

Kuna magonjwa mengne mengi ya ngono kama kaswende, gonorea na hata HPV au Hepatitis.

Hapa nazungimzia HIV.

Nimetembea na wanawake kadhaa na miongoni mwao nimefanikiwa kuwapima HIV,

Wapo ambao walikiri wanamaambukizi hata kabla hatujapima chumbani, kilichofanya nilale nao ni namna walivyojiweka wazi kuwa wanatumia dawa kitambo., hao sikutumia kinga ila nilichukua tahadhari.(KWAKWELI WATU WAPIME NA WAANZE DAWA)

Ambao ndo walikua ndo kwanza wameathirika kiukweli nilidoji kimafia.

Sasa ishu nayosema hapa ni yamotooo, yani Jana tu!!

NILIMPIGA DEM SUPU YA BUKU 3, LOJI 20'000, MWANAMKE NILIMPIMA NGOMA TENA ALIKUWA ANAJIAMINI SANA, NI DEM MKALI JAMANI JAMANI!!

NILISHIKA KIPIMO NA HARAKA KILISOMA MSTARI WA KWANZA!! KISHA WAPILI, NILIMWAMBIA HAKUNA KITU NGOJA NIKIWEKE BAFUNI KARIBU NA DIRISHA BADO HAKIJASOMA VIZURI.

NILIKITUPA CHOONI NIKAVUTA FLASHI, NIKAKIFLASH,

ALIULIZA KIKOWAPI NKAJIBU SABUNI NA KIPIMO VIMETELEZA KWE TUNDU.

Ase nlitoka nje na kuongea na Dada wa loji kamwambia nime cancel, iyo ela nirudishie 50%, alikubali, nlirudi ndani nkamwambia mtoto nauli hyo apo nimepata safari ya haraka, tutapanga day ingine.

Ee mungu unisamehe!!

SASA NASEMA UKIMWI UPO JAPO MIMI SI DAKITARI PENGINE KILE KIPIMO KILISOMA STDIs (ila sidhani!!!) Maaana hakijawahi kwepesha toka nimeanza kukitumia.

Ila historia ya huyo binti alikuwa kuku mweupe mtaani,baadaye akaja akatulia kabisaaa, hulka zake na majibu ya jana vinashabihiana,

Kischana cha 19-21 huna kazi wala biashara unasuka misuko kila asubuhi, safari haziishi, kweli njia za kutafuta matatizo zinahusisha starehe. Mabinti TEKINI CARE.

Ukihangaika lazima UKIMWI UUPATE.

UKIMIWI UPO, MUNGU YUPO.

VIJANA TUJICHUNGE.

NAWASILISHA.
 
PUMBAFU, we ngoja nitakupata tu. Labda utubu na kuacha ngono.

PUMB
 
Back
Top Bottom