Msaada Mabadiliko ya ITV C band

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Ndugu wana jf habari za mapumziko ya sikukuu?

Ninaomba kwa aliyefanikiwa ku set Chanel za IPP toka mabadiliko ya May 31 atusaidie.

Tunafanya installation kama walivyoelekeza ila hakuna signals,

Je kuna haja ya Ku adjust uelekeo wa dish, au vinginevyo, tupeni msaada tafadhali.

Asante.
 
Useme tena hujaelewa
IMG-20190601-WA0007.jpeg
 
Back
Top Bottom