feni ya Friji PANASONIC 602L inahitajika

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Wakuu nawasalimu kwa lugha zote,,

Mmiliki wa ya friji tajwa hapo juu anahitaji feni lake la mlango wa juu sehemu ya kupozea.

Pia anaomba msaada na ushauri wa kiufundi juu ya ulaji mkubwa wa umeme wa friji hii tofauti na ilivyokua mpya. Yan umeme unit za 1500/= per day.

IMG_20190905_182417.jpeg
IMG_20190904_214408.jpeg
IMG_20190904_012041.jpeg
 
Back
Top Bottom