Search results

  1. K

    X-mass tunasherehekea nini ?

    Je X-mass ni sherehe za kuzaliwa yesu kristo ? Nielewavyo gregorian calenda ilianza pale yesu alipozaliwa yaani tareh 01-januari - 01. Sasa ninapoambiwa tunasherehekea kuzaliwa yesu tar 25 -Dec, inachanganya kidogo.[au tarehe kamili ya kuzaliwa yesu haifahamiki ?] Wapendwa naomba msaada hapo na...
  2. K

    Mafanikio na mapungufu ya awamu ya 4 ya Rais Kikwete

    :attention::bange:AWAMU HII YA NNE WAMEJITAHIDI KWA MENGI NAORODHESHA TU BAADHI 1,JK ameweka mtandao wa barabara kwa nchi nzima 2.kajenga chuo kikuu cha dodoma 3 shule za sekondari ni nyingi mno kila kata 4ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo kasi 5.ujenzi wa daraja la kigamboni unaendelea...
  3. K

    Hati hati sensa kuahirishwa

    Kuna uwezekano mkubwa sensa huenda ikaahirishwa ili kujiandaa upya Kuweka kipengele cha ''DINI" KTk dodoso ili hatimaye tujuwe dini ipi yenye wafuasi wengi waislam/wakiristo. Waislam wameshaweka wazi kuwa hawatoshiriki sensa kufuatia serikali kupika takwimu za waislam huku wakijua hamna sensa...
  4. K

    Je unaijua AMANA Bank, Inayokopesha bila Riba?

    Amana bank ni benk inayofuata misingi ya kiislam ambapo hukopesha bila kutoza riba kama uislamu unavyoamrisha. Bank hii inakopesha bila kubagua dini kwani inatoa huduma kama bank zingine. Nimetembelea tawi lao pale karibu na soko la kariakoo wakanipa maelezo mazuri saana na nimevutiwa na huduma...
  5. K

    Je haya MADISH ya "tv'' ni analog au digital ?

    Ndg zangu naomba kujulishwa je haya madish ya tv yapo ktk mfumo gani ni analog au digital ?. Na je pindi serikali itakapostopisha mitambo ya analog, je na wenye madishi itabidi wanunue vingamuzi au wataendelea kupata channel kama kawaida ? Kwa anayejua naomba msaada.
  6. K

    Kesho wakazi wa kigamboni kugoma.

    Kesho tar 1 jan 2012. Wakazi wa kigamboni wameandaa mgomo mkubwa kabisa kwa kuzuia watu wote kutovuka ktk vivuko hivyo ikiwa ni kupinga ongezeko la nauli kutoka sh 100 hadi sh 200/- wananchi wamehamasika sana ktk hili na watazuia watu wote kuvuka hadi kieleweke na wameondoa tofauti zao za...
  7. K

    Mh- A.Tibaijuka atembelea kigamboni

    Waziri wa Ardhi na makazi mh. Anna Tibaijuka atatembelea ENEO LA MRADI WA MJI MPYA WA KIGAMBONI[na kufanya mikutano ya hadhara] KAMA IFUATAVYO:-kata ya kigamboni[machava]-tar 6/12/2011, kata ya vijibweni tar 7/12/2011, kata ya somangila tar 8/12/2011, kata ya kibada tar 10/12/11 na kata ya...
  8. K

    Angalia star tv sasa.-mada mjadala wa katiba live.

    Mjadala mzuri star tv. Mada mabadiliko ya katiba. Prof shivji yupo hewani.
  9. K

    Angalia tv chanel leo saa tatu usiku ten. Kuna mjadala juu ya mjimpya wa kigamboni.

    Mjadala mzuri juu ya mjimpya wa kigamboni leo tar 6/11/2011 saa tatu usiku.
  10. K

    Dr slaa nayekupata ulinzi wa mikoba ya sheikh yahaya husein

    Kwa mujibu wataarifa Aliyeachiwa kurithi mikoba/utaalamu wa sheik yahaya ni mwanaye mkubwa aitwaye Hasan. Kijana huyu kwa mujibu wa zito kabwe kupitia gazeti la mwananchi ni KADA wa muda mrefu wa CHADEMA.Kufuatia urithi huo niimani yetu kuwa ule ulinzi alokuwa akipata JK , sasa utahamia kwa dr...
  11. K

    Kongamano kuuubwaa mjini TANGA LEO tar 3/4

    Haya leo tena kutakuwa na kongamano la kitaifa mjini tanga viwanja vya TANGAMANO KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI HADI SAA SITA. Mada athari za mfumo kiristo TZ, HARAKATI ZA UHURU TZ, katiba mpya nk. Masheikh wote maarufu watakuwepo, PIA LITARUSHWA LIVE KUPITIA RADIO IMAAN ambayo inasikika nchi nzima...
  12. K

    Sikukuu ya wajinga imewadia ni tarehe 1-april

    Sikukuu ya wajinga huwa tar 1/4. Siku za nyuma ilikuwa maarufu sana. Ila siku hizi imerudi kwa kasi tena watu kudanganywa. Sikukúu huanza alifajiri na kwisha saa nne.. Nachotaka kujua ni wapi asili ya hii sikukuu ? Je ina uhusiano na dini yoyote ? Je kwanini isipigwe marufuku ?
  13. K

    Ni kongamano kubwa kabisa hapa ARUSHA leo tar 27.

    Kongamano kubwa bado linaendelea hapa Ar mjini. Mada motomoto zipo hewani,katiba mpya, ikiwepo siri ya maandamano ya CDM. Nk. Pia linarushwa live kupitia radio IMAAN.
  14. K

    Kongamano kuubwa dodoma leo 20/3/11

    Kuna kongamano kubwa dodoma la kujadili hatima ya siasa za TZ. Toka uhuru hadi leo. Pia lipo live kupitia radio immaan. Mlopo DOdoma tuongezeeni zaidi kutujuza hali ya muitikio wa hili.
  15. K

    Babu wa loliondo ayachanganya makanisa.

    Kufuatia babu wa loliondo kugundua dawa ya magonjwa sugu na ukimwi.. Makanisa mengi yamebaki njia panda na kutokujua la kufanya huku waumini wengi wakikiristo kukimbilia huko na makanisa kubaki tupu hasa kimapato. Kufuatia hilo makanisa kama kwa kakobe amediriki kuwa muwazi na kumponda mchungaji...
  16. K

    Kongamano kuuubwa siku ya jumapili tar 13/2/11-MOROGORO

    Kutakuwa na köngamano kuubwa, kujadili mustakabali wa kisiasa hapa nchini toka harakati za uhuru hadi sasa. Wahadhiri mbalimbi na masheikh maarufu watakuwepo. PIA ITAKUWA LIVE KUPITIA "RADIO IMAAN" muda kuanzia saa tatu asubuhi.
  17. K

    Elections 2010 Kongamano kuuubwa siku ya jumapili tar 13/2/11-morogoro

    Kutakuwa na kongamano kubwa la kujadili mustakabali wa siasa za nchi hii toka harakati za kudai uhuru hadi leo. Kongamano litakuwa live kupitia radio IMAAN Kuanzia saa tatu asubuhi. Sikiliza upate kujua mengi.
  18. K

    Kongamano kuuubwa kesho tar 30 mjini tabora.

    Kesho kutakuwa na kongamano kubwa hapa Tabora la kutafakari kauli za maaskofu na siasa ya tz kwa ujumla. Viongozi wa dini na wageni mbali* watakuwepo. Pia kongamano litakuwa LIVE KUPITIA RADIO IMAAN. Kuanzia saa tatu asubuhi. Usikose.
  19. K

    Kipi kitafuata umeya wa Arusha

    Kwa kauli ambazo zimetolewa hivi karibuni na viongozi wa serikali baada ya maandamano AR nikuwa uchaguzi wa meya hautarudiwa, anayepinga aende mahakamani pia wamesema hawana mpango wa mazungumzo. Sasa nauliza viongozi na/wana CDM wote kitakachofuata ni nini ? Je Maandamano mengine au tumesalim...
  20. K

    Mavazi ya uchi kwa dada zetu

    Mavazi ya uchi na kubana limekuwa tatizo kubwa sasa hapa tz . Tabia hii ya mmomonyoko wa maadili, ilianza kidogokidogo na sasa imekuwa kama kawaida kwani mpaka kwenye nyumba za ibada wanakwenda na hivi vijisuruali mmbano[big G] bila hata ya woga. Swali langu. 1. TUFANYEJE ILI KUKOMESHA TATIZO...
Back
Top Bottom