Elections 2010 Kongamano kuuubwa siku ya jumapili tar 13/2/11-morogoro

Kivia

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
278
32
Kutakuwa na kongamano kubwa la kujadili mustakabali wa siasa za nchi hii toka harakati za kudai uhuru hadi leo. Kongamano litakuwa live kupitia radio IMAAN Kuanzia saa tatu asubuhi. Sikiliza upate kujua mengi.
 
Venue....Nataka kuhudhuria live, tanesco wanaweza kukata umeme nikashindwa kufuatilia redioni.
 
Wasemaji wakuu kina nani?? Isije ikawa mnatuletea Tambwe Hiza
 
Hawa ni Redio Imani,redio ya Waislamu iliyojaa rongorongo na UDINI wa kubagua dini nyingine hasa Ukristo.

Sina muda wa KUHUDHURIA wala KUSIKILIZA upuuzi utakaozungumzwa pale. Watu watakaochangia naamini ni MASHEIKH na MAMUFTI ambao upeo wao katika nyanja nyingi ni finyu sana.
 
:clap2:
 
Ni bora ungeenda kusikiliza ili u-prove kama wanabagua wakristo??

kUlikono kuwa na dhana from very beginning ok..

Usiogope mijadala (hutafukuzwa kanisani)
 
hahahahahah kazi kwelikweli,ndio mnandoto za mabadiliko,badilisheni kwanza yaliyo mioyoni mwenu,acheni huu mjadala wa watu wa dini fulani hawana upeo sijui hawa wana upeo mtabaki hivyohivyo sana sana mabadilikom mazuri mtakayoyaleta nchini mwenu ni vita vya kidini mengine si fani ya watz kwa mpango huu:coffee:
 
Nikipata bomu lazima liihusu hii redio ya kishenzi nilikuwa naisikiliza sana lakini nadhani wanatumika kama USB (flash disk) any thing wanakubali ka wangese flani hivi ..mbafumbafu sana ...
 
Naomba redio kutoka iringa waige wenzao wanavyofanya kwa kufanya makongamano mfano hapa njombe tuna shule kubwa nanyingine nyingi kwa nini hamhoji nini chanzo cha wanafuni kufeli sio mnauliza watu ambao hawafahamu chanzo
 
Tunasubiri tamko lao la kulaani,kudai wanaonewa, JK anahujumiwa na maaskofu,makafiri na wasiofuata dini yao na mawazo yao.
 
Back
Top Bottom