Recent content by Mzee Mpili

  1. Mzee Mpili

    Naomba msaada wa ku-install windows kwenye toshiba portege M400

    Nilifanikiwa baada ya kuwa na driver ya BIOS katika flash kila niki install windows. Ahsante
  2. Mzee Mpili

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man 3 Brugge 1
  3. Mzee Mpili

    Naomba msaada wa ku-install windows kwenye toshiba portege M400

    Naona wote mlichemka..sasa nimekuwa dr wa tatizo hili
  4. Mzee Mpili

    TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Dawa ni ku-uninstall
  5. Mzee Mpili

    Naomba msaada wa ku-install windows kwenye toshiba portege M400

    Nina toshiba portege M400 inagoma kuinstall windows inaonesha ujumbe wa kutoonekana kwa windows install driver. Nikaweka windows katika hard disc yake kwa kutumia laptop nyingine windows ikakubali ila nikiiweka hard disc kwenye toshiba portege inagoma. Msaada wa kitaalamu please.
  6. Mzee Mpili

    Serikali kusitisha Ajira za Walimu ifikapo mwaka 2015

    Hiyo taarifa alisema waziri wa kilimo tena kwenye mahafali ya kidato cha nne
  7. Mzee Mpili

    Check no. imetoka tarehe 07/08/2014

    Inaitwa CHECK NUMBER. Asikupotoshe huyo.
  8. Mzee Mpili

    Call for Interview UDOM

    Nafasi ya administrator vipi kwa upande wa oral?
  9. Mzee Mpili

    Nafasi za Administrators-SUA

    simu tayari au bado?
  10. Mzee Mpili

    Nafasi za Administrators-SUA

    duh, hapo utata aisee. Mmoja katika kumi na moja. poa ni dua tu hapo.
  11. Mzee Mpili

    Nafasi za Administrators-SUA

    Jamani kuna ambaye keshapigiwa simu kwa usaili wa mahojiano(oral interview) kwa kada ya human resource baada ya usaili wa kuandika wa leo? Taarifa tafadhali....
Back
Top Bottom