Naomba msaada wa ku-install windows kwenye toshiba portege M400

Mzee Mpili

Member
Apr 2, 2012
39
3
Nina toshiba portege M400 inagoma kuinstall windows inaonesha ujumbe wa kutoonekana kwa windows install driver. Nikaweka windows katika hard disc yake kwa kutumia laptop nyingine windows ikakubali ila nikiiweka hard disc kwenye toshiba portege inagoma.

Msaada wa kitaalamu please.
 
Unajaribu kuimstall Windows gani.. Je image unayotumia ni UEFI au? Kwenye BIOS yako Secure Boot ipo Enabled au Disabled? Pia angalia format ya HDD whether ni MBR au GPT.. Rudisha Feedback for more info.. Kama umeweza.. Hongera mkuu!
 
Nilifanikiwa baada ya kuwa na driver ya BIOS katika flash kila niki install windows. Ahsante
 
Back
Top Bottom