Nape anataka kumtumia Nyerere kama fimbo ya kumchapa Lowassa

tol

JF-Expert Member
Apr 18, 2014
256
170
Kweli nimeamini lakuvunda halina ubani, Karibu mwenezi wa CCM Nape Nnauye kaishiwa Sera kasema wamejipanga kuwaeleza wananchi kwanini MWL Nyerere alimkataa Lowassa asigombe urais wa Tanzania.

Namshauri Nape asiwe kama mtoto anayelia baada ya kuona maziwa, kwani hapo hakuna jipya
tunataka Nape atuambie Magufuli atachukua hatua gani kwa wezi wa ESCROW,ufisadi na ubadhirifu katika bomba la gesi utashuhulikwa vipi, atuambie atashughulikiaje suala la ukosefu wa ajira.

Atueleze kwa vielelezo atapambana vipi na ugumu wa maisha hasa kupanda kwa bei za bidhaa ikiwa ni pamoja na us dollars.

Sisi tumeshahamua kumkubali Lowassa hakuna wa kutubadilisha
.
 
mwambie LOWASA aludishe pesa za mfuko wa jimbo m310 ambazo dr SLAA anaushahidi nazo.
mwambie LOWASA atawashughurikia vipi mafisadi wenzake akina CHENGE KARAMAGHI ROSTAM?

= arudishe
= atawashughulikia

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Wewe umesoma kitugani Faizafoxy?mbona unapenda sana kuongelea elimu za watu?haujui kua huyo jk ndio amefanya elimu kua kama toiletpaper?na ndio maana hata wewe kisomochako ni chepesi kama makamasi ya kwanza.Nakushauri urudi chadema ukakaziwe akiliyako,maana toka urudi kwa akina nape umekua na mijicho mikubwa ubongo wa mende.
 
kweli nimeamini lakuvunda halina ubani, Karibu mwenezi wa ccm nape nnauye kaishiwa Sera kasema wamejipanga kuwaeleza wananchi kwa nini MWL Nyerere alimkataa Lowasa asigombe urais wa Tanzania
namshauri nape asiwe kama mtoto anayelia baada ya kuona mazuwa, kwani hapo hakuna jipya
tunataka nape atuambie magufuli atachukua hata gani kwa wezi wa escrow , .. ufisadi na ubadhilifu katika bomba la gas utashuhulikwa vipi, atuambie atashuhulikiaje suala la ukosefu wa ajira.. atueleze kwa vielelezo atapambana vipi na ugumu wa maisha hasa kupanda kwa bei za bidhaa ikiwa ni pamoja na us dollars
sisi tumeshahamua kumkubali Lowasa hakuna wa kutubadilisha

Kijana acha kulialia, subir Makongoro aanze kumshughulikia fisadi wenu, hakuna rangi ataacha kuona, naona ashaanza ku-regret muda huu, ikulu ameililia mno maskini,but atakufa hajawa raisi!this is his last attempt!
 
Kijana acha kulialia, subir Makongoro aanze kumshughulikia fisadi wenu, hakuna rangi ataacha kuona, naona ashaanza ku-regret muda huu, ikulu ameililia mno maskini,but atakufa hajawa raisi!this is his last attempt!

Watz hawana muda wa kuwaskiliza maccm sampuli ya makongoro, hana jipya kwa sasa.Mabadiliko ni sasa na mwaka huu maccm yatajinyea
 
Yan MaCcm hawakomai na Magufuli bali wanakomaa na Lowassa....lazma awaoe mwaka huu
 
Kwani huyo Nyerere ni nabii au mtume? Hakuna wa kunibadilisha, kura yangu ni kwa Lowassa tu.
Huyo Nape mwenyewe Nyerere angekua hai angemtandika viboko hadharani.
 
mwambie LOWASA aludishe pesa za mfuko wa jimbo m310 ambazo dr SLAA anaushahidi nazo.
mwambie LOWASA atawashughurikia vipi mafisadi wenzake akina CHENGE KARAMAGHI ROSTAM?

Kwani hao hapo chini si bado wapo ccm..au unajisahau? EL ashajitakatisha hayupo tena kwenye sera za kifisadi!..nyie mburula muda wenu waja soon!
 
mwambie LOWASA aludishe pesa za mfuko wa jimbo m310 ambazo dr SLAA anaushahidi nazo.
mwambie LOWASA atawashughurikia vipi mafisadi wenzake akina CHENGE KARAMAGHI ROSTAM?

Magufuli ndiye aeleze kama ana ubavu wa kuwapeleka mahakamani hao mafisadi ambao chama chake kimewapitisha tena kugombea ubunge. Ccm badala ya kuendelea kujisafisha ilivypfanya kwa lowasa inaogopa kuwafukuza mafisadi wenzake waliobaki kwenye chama na serikalini pamoja na hao wa escrow.
 
Mwalimu Nyerere pia alimkataa kikwete kuwa hafai kuwa Rais kwakuwa bado akili yake ni ndogo haifai kuongoza akili kubwa za Watanzania wenye kutaka mabadiliko lakini chama hicho hicho kilompa nafasi mtu aliye pingwa na Baba wa taifa sasa tunamtaka Nepi kwanza awaeleze watanzania kwanini walimkubalia kikwete awe Rais wakati Mwalimu alimkataa?
 
Back
Top Bottom