TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

Mitangazaji ya TBC nayo sijui imelishwa nini na maccm, yaani inakubali kujidhalilisha mbele ya umma. Inakuwaje mwandishi uliyesoma ukatumika ki-condom?.

Jamii iwatenge hawa waandishi wapumbavu wa CCM tuone kama watafanya mambo ya kijamii na maccm.

Aibu yenu mkurugenzi na watangazaji wote wa TBCCM
 
Ni magazeti mengi sana wameandika uongo, fuatilia clip zao kwenye YOUTUBE zipo nyingi sana
 
Tatizo lako unalazimisha habari unayotaka wewe isomwe.mhariri ana haki ya kuchagua habari ipi isomwe.kuna habari za kilimo afya na elimu nazo pia tunatakiwa kuzijua sio kila siku ukawa.pia ule ni udondozi tu,unatakiwa ununue Tanzania daima utapata habari unazotaka wewe,mpaka upande wa michezo tunaambiwa jinsi babu seya atakavyoachiliwa huru
 
ungekuwa umeangalia hizo clip usinge comment ulicho comment. Huwezi kusema hii ndio Leading story halafu haiendani na uhalisia. Jitahidi uwe unaelewa jambo kabla ya ku comment
 
Kichefuchefu tu, hao wameagizwa kusoma hivyo, na wanaosimamia vyombo hivyo wanamapengo, wanaweza kung'ata kwa jirani tu, nyumbani kwa ndugu yake hawezi. TCRA ni Kibogoyo, ana meno upande mmoja
 
Tatizo lako unalazimisha habari unayotaka wewe isomwe.mhariri ana haki ya kuchagua habari ipi isomwe.kuna habari za kilimo afya na elimu nazo pia tunatakiwa kuzijua sio kila siku ukawa.pia ule ni udondozi tu,unatakiwa ununue Tanzania daima utapata habari unazotaka wewe,mpaka upande wa michezo tunaambiwa jinsi babu seya atakavyoachiliwa huru

Naomba uende kwenye links za YOUTUBE alizoweka mkuu hapo juu na uziangalie ndiyo urudi kucomment.Nina uhakika utaedit kwa 80% hii comment yako.
 
Back
Top Bottom