Serikali kusitisha Ajira za Walimu ifikapo mwaka 2015

Its logical, kuwa kwa kasi ya waalim kuajiriwa itafika wakat ajira zao zitakoma, so its common sense kusema haeataajiri, although sina uhakika kama itakuwa 2015, angesema 2020 ningemuelewa kbs

walimu wataajiriwa ila kwa mahitaji maalum ya halmashauri husika tena kwa interview,na kupitia tume ya ajira ya utumishi wa umma
 
Labda hiyo itawaathiri sana walimu wa masomo ya art lakini wale wa sayansi bado wanahitajika sana...
 
Hiyo taarifa alisema waziri wa kilimo tena kwenye mahafali ya kidato cha nne

Sasa si kasema kilichopo unadhani alijitungia chumbani kwake na mkewe? Kawambwa alishasema hilo tangu mwezi wa nne wakati ajira mpya Zinatoka. Juzi Majaliwa kalisema tena then huyo mzee wa kilimo katia msisitizo hapo, sasa kama huamini subiri ajira 2016.
 
kuongeza wilaya,mikoa,idadi ya mawaziri,posho ya wabunge inawezakana ila kuajiri walimu haiwezekani.kuichagua sisiem ni kujiletea umaskini wenyewe.
 
hiv karbun lilitoka tamko la kuwapa kipaumbele walimu... hata kwenye mikopo ya keenda chuon walkuwa wanapewa ~100% sasa leo mtu asiyehusika na elimu anayolea maelezo ya elimu pasipo husika.....
hii n hatar sana kwa vijana waliopo chuon.
yaan mtu umpe mkopo huku ukijua kwamba hatuna uhitaj nae...... hii n akil kweeli...?


hebu hizi ishu za ajira za walim tuzipuuze kwa kuwa hazjatoka seehem husika... na kwa mtu husika.
 
Yaaani mim hapa ndo nimeshakata tamaa ya maisha cjui mustakabali wetu ukoje na tumemaliza chuo na matumaini makubwa ya kuajiriwa alafu anakuja mtu anasema hakuna hawataajiri. Tunaomba ufafanuzi mzuri kwa ambao mpo kwenye wizara ya elimu au wizara ya TAMISEMI
 
lkn hapo usiwe na shida coz sio tamko la wizara husika .
we piga kitabu ajira ipo
 
Tuelewane kidogo waungwana, naposema mwaka ujao namaanisha mwaka ujao wa fedha msije kujitia vitanzi. Yani hapa watakaoangukia mwaka wa fedha 2015/2016. Hawa waliomaliza mwaka huu hawajaangukiwa na jumba bovu jamani. So kama una mdogo wako mwaka wa 3 kwenda chini andaa shamba.

Yaaani umenifanya nicheke saana hadi mbavu znauma jambo hlo jumba bovu linaanza kuniangukia taratibu.
 
Back
Top Bottom