Nafasi za Administrators-SUA

Mzee Mpili

Member
Apr 2, 2012
39
3
Wadau chuo kikuu cha sokoine mbona nafasi za administrators hawaiti tangu tuombe mwaka jana? Kama kuna mwenye tetesi atujuze.
 
Duu! kaka kama hujapigiwa cm pole interview tunaenda kufanya kesho tarehe 14 April written na oral itakuwa tarehe 15 April walinipigia simu alhamis!
 
Jamani kuna ambaye keshapigiwa simu kwa usaili wa mahojiano(oral interview) kwa kada ya human resource baada ya usaili wa kuandika wa leo? Taarifa tafadhali....
 
mtihan wa kawaida sema kuna maswali mengine walikaza sana. Tulikuwa 11 tu na post ipo 1 so tunasubr simu kwa ajili ya Oral
 
Back
Top Bottom