Recent content by chuchunge

  1. chuchunge

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Masanduku yenye zip ni changanoto hata ukilock,wanatumia kalamu kuingiza kwenye zipu inaachana wanaiba na kufunga na wala hutajua,niilibiwa nami perfume na camera kwa mtindo huu
  2. chuchunge

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri lijitathmini kwenye miradi yake

    Ninaandika kwa masikitiko makubwa kama Mlutheri jinsi miradi ya ELCT inavyofanya vibaya na mingine kufa kabisa. Hospitali ya Selian iliyojengwa kwa pesa za wafadhili na mkopo wa CRDB ni hospitali nzuri yenye ubora na iliyokua ikihudumia hadi mikoa mingine,haifanyi vizuri na kushindwa kulipa...
  3. chuchunge

    Ushahidi kuntu kuhusu utapeli uliojificha ndani ya biashara ya dada wa kazi (house girls)

    Well said,kuna kampuni Arusha wanaitwa DAREF ofisi yao ipo Ngulelo,hawa wanatafuta wasichana na ni wadada wa mjini wewe unadhani wametoka kijijini,unawalipa laki 40 mshahara wa dada wao wanampa 90 kila mwezi na hapo umeshalipia elfu 50 ya ofisi pia.Dada unakuta hana mafunzo yoyote unaanza from...
  4. chuchunge

    Mliowahi kuamka asubuhi na kukuta hali hii naombeni ushauri!

    Au una bed bugs,cgumba kiwe na mwanga wa kutosha na toa godoro nje kwenye jua na usilalie mashuka muda mrefu
  5. chuchunge

    USHAURI: Idara zote za Maji tuwape DP World kuongeza ufanisi

    Naunga mkono hoja pamoja na TANESCO
  6. chuchunge

    Kuna kasi ya mabinti kuvuta shisha. Nini kipo nyuma ya uraibu huu?

    Shisha inasababisha sana cancer ya koo hawajui tu!
  7. chuchunge

    ATCL mbona kama delays zimezidi sana

    Ndege za Tz hazina uhakika kabisa,kuna siku nilikua nasafiri na Precision ikaahirishwa mara 2,kutoka saa 10 mpaka sa a 3,saa 3 hadi saa 5.Huwa najiulizaga sana wanaopanda from KIA kufanya connection kwenda nchi nyingine inakuwaje?
  8. chuchunge

    Ikulu mpya na maswali

    Yaani umeona kama mimi,majengo yote yale for what?si yangejengwa hata matatu tu?Kuna maeneo ya Tanzania hakuna maji safi na salama,hospitali wala shule.
  9. chuchunge

    TANZIA Isdory Shirima afariki dunia

    Amefariki hospitali ya Mloganzila kwa matatizo ya kisukari na figo,Mungu amweke mahali pema peponi,one of the toughest ,smart, vibrant RC of that time
  10. chuchunge

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Shut up wewe hujui kitu,kama nimeandika hapa unadhani sijui nilichoandika?
  11. chuchunge

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    hana akili mama yako!
  12. chuchunge

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Hii report haijamtaja Mzunngu mmoja yupo Arusha anafanya kazi UN-MICT na alianza toka UN-ICTR anaitwa Tom Adami yupo kitengo cha Archives,Anajulikana hadi na mapolisi wa Arusha kwa kuwaharibu vijana wadogo.Kwakua ana diplomatic protection huwa hafanywi kitu,hadi mke wake mkenya aliamua...
  13. chuchunge

    Mganga Mkuu wa Serikali ajiongeze na kujiamini

    Nimekuwa nikimsikiliza Mganga Mkuu wa Serikali Dr. Nagu pindi anavyotoa taarifa haswa ya ugonjwa huu wa Marburg. Namuona hajiamini na anashindwa kuwa detailed na composed. Ushauri wangu kwake ajiongeze na kujua content mapema as anaonekana viatu alivyovaa ni vikubwa. Leo Waziri Ummy imebidi...
Back
Top Bottom