Mliowahi kuamka asubuhi na kukuta hali hii naombeni ushauri!

Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala!Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni,shingoni,mapajani,kifuani au mgongoni!!Husababishwa na ninini?Maana inawasha balaa!Naombeni majibu muafaka!Nimeweka picha!!
Mkoa gani hii?
 
Hapo kuna mambo mawili yanaweza kuwa sababu

1: angalia kucha zako kama ni ndefu kata
2: kwa siku 3 au 4 nyuma angalia aina ya chakula au mafuta ya kula unayo tumia hii inaweza kukusababishia alej flani ukajihisi kuwashwa sana kwa baadhi ya sehem za mwili au umebadili sabuni ya kuogea .....chezea humo
 
Upande wa kucha sidhani kama ni zenyewe!Sabuni naogea hiyo ya kijani mnayoiita "alovera"
 
Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala!Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni,shingoni,mapajani,kifuani au mgongoni!!Husababishwa na ninini?

Maana inawasha balaa!Naombeni majibu muafaka!Nimeweka picha!!

Huyo mchawi inabiri apunguze kucha asee
Kidogo akute utumbo
 
Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala!Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni,shingoni,mapajani,kifuani au mgongoni!!Husababishwa na ninini?

Maana inawasha balaa!Naombeni majibu muafaka!Nimeweka picha!!
Kuna uwezekano ukiwa usingizini, unajikuna.
 
Au una bed bugs,cgumba kiwe na mwanga wa kutosha na toa godoro nje kwenye jua na usilalie mashuka muda mrefu
 
Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala!Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni,shingoni,mapajani,kifuani au mgongoni!!Husababishwa na ninini?

Maana inawasha balaa!Naombeni majibu muafaka!Nimeweka picha!!
Mkuu hizo fimbo umechapwa usiku na wanga kuna ndugu yangu nae imesha wai mtokea hivyo wanga wakiamua waku komeshe ndizo staili zao hizo.
 
Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala!Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni,shingoni,mapajani,kifuani au mgongoni!!Husababishwa na ninini?

Maana inawasha balaa!Naombeni majibu muafaka!Nimeweka picha!!
Tayari
Mshana Jr njoo huku
 
mkuu hapo ni mikwaruzo katika harakati za mchana maana hapo huo mkwaruzo sio wa usiku huohuo ni kama wa jana ake ila unapojikwaruza haitokei alama ila baada ya muda inajitokeza alama
 
Nilipoamka palikuwa panavuja damu mithili ya kupitishiwa wembe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom