chuchunge
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 212
- 154
Ninaandika kwa masikitiko makubwa kama Mlutheri jinsi miradi ya ELCT inavyofanya vibaya na mingine kufa kabisa.
Hospitali ya Selian iliyojengwa kwa pesa za wafadhili na mkopo wa CRDB ni hospitali nzuri yenye ubora na iliyokua ikihudumia hadi mikoa mingine,haifanyi vizuri na kushindwa kulipa hadi wafanyakazi wake, imepelekea Ma Dr wengi kuondoka hence kupelekea usumbufu mkubwa kwa wagonjwa.
Huku vile vile ikiwa na deni kubwa CRDBS.
hule kama Junior Seminary ya Morogoro na Peace house ya Arusha nazo ziko kwenye hali mbaya sana.
Hotel ya Corridor Spring nayo ilibidi waumini tuchangishwe ili deni lilipwe ikikaribia kuuzwa na CRDB.
Kuna haja uongozi mpya wa Askofu Malasusa kuja na mpango mkakati wa namna ya kuendesha miradi.