Kupuuzwa kwa fani ya maendeleo ya jamii kwenye ajira zifuatazo litizamwe vizuri

Ebu fafanua hapa vizuri
Huku site wahitimu wa hii course kazi yao kubwa ni ku-fetch wadau waliokatika maeneo yao na kuhakikisha wanachangia maendleo ya jamii

kusimamia na kuandikisha NGO sijui vkundi vya ujasiriamali na mengine kama hayo

so nafiiri ndo maan imeshndwa math na job description
 
Mkuu naona hii comment yako kwenye uzi wa pili sasa, yani una copy na ku paste tuu kwamba wote tukasomee hizo short course VETA bwana Civil Engineer......
Jiongeze ulichosomea hakina soko. Jifunze ufundi seremala, plumbing au umeme. Ukimaliza piga kazi upate mafundi wenzako waaminifu. Then nenda katika site kubwa uombe kuuziwa kazi. Utapiga hela mpaka utachanganyikiwa.
 
Mkuu naona hii comment yako kwenye uzi wa pili sasa, yani una copy na ku paste tuu kwamba wote tukasomee hizo short course VETA bwana Civil Engineer......
Unataka hela au hauna shida na hela ? Nimefanya kazi na vijana wengi sana. Wale wanaopiga hela ni mafundi ambao hawajaenda hata Veta. Ukiwa fundi thabiti na ukiwa na team thabiti utapiga hela mpaka utakimbia. Kuna kazi nyingi za ujenzi ambazo hazihitaji nguvu nyingi. Useremala (kupaua nyumba), Umeme(kufanya wiring na fixing), Plumbing na kitu kingine ni steel fixing. Kuna vijana wanakunja hela nzuri katika hizi kazi. Kuna degree hautakiwi kuzisoma kama hauna kazi. Yaani inabidi uhakikishiwe kazi kabla haujaenda kuzisoma. Kama unaweza kurudi shule kasomee Architecture, Quantity Surveying au Civil Engineering ukimaliza nitafute. Kwenye sekta ya ujenzi kuna hela nyingi sana zilizojificha.
 
Kwanini mtu wa sociology anapewa kipaumbele kuliko mtu wa maendeleo ya jamii?
Mtu aliyesoma Community development hizi course zote kazisoma ndani yake Community development ndo inameza masomo yote yanayohusu social issues na development issues kama ifuatavyo.
-Social welfare
-Social work
-Sociology
-psychology
-Guidance and counseling
-Economics
-Development studies
-Gender issues
-Social development
-Behavioural change
-philosophy
-Human resource
-Monitoring and evaluation
-Project planning and management

Sasa unakuta kazi zinatangazwa serikalini au kwenye taasis za umma wanataja course zote hizo lakini mtu wa maendeleo akiomba anakataliwa wakati maendeleo ndo course mama wa course zote hizo
Sasa kiongozi hebu nisaidie hapa main concern ya hii course ni nini

Au niseme hivi wakati ukiwa chuo unasoma hiyo course Huwa unajiandaa kwenda kufanya kazi Gani ?

Au mna-deal na nini hasa
 
Huku site wahitimu wa hii course kazi yao kubwa ni ku-fetch wadau waliokatika maeneo yao na kuhakikisha wanachangia maendleo ya jamii

kusimamia na kuandikisha NGO sijui vkundi vya ujasiriamali na mengine kama hayo

so nafiiri ndo maan imeshndwa math na job description
Ehee nadhani ndo maana Haina soko hizo duties hazihitaji ujuzi specific kudeal na hizo duties automatically atachukuliwa mtu mwenye faida ya ujuzi wa ziada kwani majukumu hayo yanaweza kuwa covered na mtu wa fani nyingine
 
Mtu aliyesoma Community development hizi course zote kazisoma ndani yake Community development ndo inameza masomo yote yanayohusu social issues na development issues kama ifuatavyo.
-Social welfare
-Social work
-Sociology
-psychology
-Guidance and counseling
-Economics
-Development studies
-Gender issues
-Social development
-Behavioural change
-philosophy
-Human resource
-Monitoring and evaluation
-Project planning and management
-Adult education
-Early childhood
-Public admnistration
-Human rights

Sasa unakuta kazi zinatangazwa serikalini au kwenye taasis za umma wanataja course zote hizo lakini mtu wa maendeleo akiomba anakataliwa wakati maendeleo ndo course mama wa course zote hizo

Na Demography
 
SHIDA KUBWA SANA HIZI COURSE NA SERIKALI MAHITAJI YA AINA YA WATU WANAO WAHITAJI NI VITI VIWILI TOFAUTI, NI BORA SERIKALI IKATOA MUONGOZO MAALUMU KUFUTWA KWA BAADHI YA COURSE MAVYUONI, NENDA MWALIMU NYERERE KUNA COURSE INAITWA BACHELOR DEGREE IN MANAGEMENT OF SOCIAL DEVELOPMENT, TOKA KUANZISHWA MAPAKA LEO HAKUNA LA MAANA HATA KWNEYE MAENDELEO YA JAMII HAIKUWAMO NA HATA COMPETITION HUWEZI MBELE YA MTU WA SOCIOLOGY, WALA COURSE HAIJULIKANI INA FIT KWENYE WIZARA GANI MPAKA KESHO NA WATU WANAMIMINIKA KUSOMA HIYO KOZI, HII SERIKALI SIJAJUA NI SHIDA GANI ILA KATIKA COURSE ZA KIPUUZI KWA SASA NI HIZI SOCIAL DEVELOPMENT NA ZA NDANI YAKE. PITA KATIKA VIJIJI UNAKUTA WILAYA MOJA INA MAAFISA MAENDELEO 10 KATIKA KATA 18, WENGI WANA JITOLEA. ILA SERIKALI INATANGAZA NAFASI ZA KAZI INA AJIRI WATU 500-900 HAO HAO WAKAWE VIONGOZI NDANI YAKE, UNAHITAJI WAKAINUE MAENDELEO YA JAMII, DUH INACHEKESHA SANA, NA BADO TUNA WAZIRI AMBAE SIJAJUA SHIDA YAKE NI IPI? MBONA AFYA NA KADA ZINGINE ZINAENDA VEMA?
 
Back
Top Bottom