Wiki hii kumekuwa na delays nyingi sana za ndege za ATCL.hii inasabibsha usumbufu sana sana.
Ushari wa bure,kama una ticket ya ATCL,Saa ya kuondoka haina uhakika.Yaani ni kama treni ya kwenda kigoma hiv.
Halafu communication ni poor hiv
UPDATES.
Tumetoka Dar leo saa 11:30 jioni kuelekea Mwanza Via kia.kufika KIA ikawa inazingua kushuka.imezunguka mara kadhaa angani.hatimaye ikatua majira ya saa moja jioni.tumeshushwa wote kwamba ndege mbovu.Hatujapata any updates mpaka sasa.sasa hapa kuna wazee na wengine wana watoto.hakuna msaada wowote wala hakuna taarifa yoyote kutoka kwa yeyote.