TANZIA Isdory Shirima afariki dunia

Hii ndio taarifa mpya iliyopatikana jana usiku, kwamba Mzee Isdory Shirima aliyewahi kuwa Mkuu wa Mikoa kadhaa nchini amefariki Dunia.

Hakuna taarifa zaidi za matanga, Ugonjwa uliopelekea kifo chake wala Hospitali aliyofia.

Tunatoa pole kwa wafiwa wote.

Apumzike kwa amani.
Oooh shirima amekuwa tyr mwendazake
 
Hii ndio taarifa mpya iliyopatikana jana usiku, kwamba Mzee Isdory Shirima aliyewahi kuwa Mkuu wa Mikoa kadhaa nchini amefariki Dunia.

Hakuna taarifa zaidi za matanga, Ugonjwa uliopelekea kifo chake wala Hospitali aliyofia.

Tunatoa pole kwa wafiwa wote.

Apumzike kwa amani.
Amefariki hospitali ya Mloganzila kwa matatizo ya kisukari na figo,Mungu amweke mahali pema peponi,one of the toughest ,smart, vibrant RC of that time
 
Hii ndio taarifa mpya iliyopatikana jana usiku, kwamba Mzee Isdory Shirima aliyewahi kuwa Mkuu wa Mikoa kadhaa nchini amefariki Dunia.

Hakuna taarifa zaidi za matanga, Ugonjwa uliopelekea kifo chake wala Hospitali aliyofia.

Tunatoa pole kwa wafiwa wote.

Apumzike kwa amani.
Nchi hii Ukishastaafu hauna lako tena. Nobody Cares about your whereabouts or your Existence. Kuna RAS Mstaafu WA 2022 alifariki juzi kati sikuona Taarifa Yake popote ingawa alitumikia Nchi Kwa Weledi mkubwa.
 
Aiseee !! nadhani baada ya kuligundua hilo waloo hai wanaamua kuiba tu
 
izdory.jpeg
 
Back
Top Bottom