chuchunge
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 212
- 154
Nimekuwa nikimsikiliza Mganga Mkuu wa Serikali Dr. Nagu pindi anavyotoa taarifa haswa ya ugonjwa huu wa Marburg.
Namuona hajiamini na anashindwa kuwa detailed na composed. Ushauri wangu kwake ajiongeze na kujua content mapema as anaonekana viatu alivyovaa ni vikubwa.
Leo Waziri Ummy imebidi afanye sana kazi yake ya kuelezea Ugonjwa, hali ilivyo, hatua zilizochukuliwa despite yeye kupewa nafasi ya kufanya hivyo.