Zzk akiwa kazini

Zzk akiwa kazini

Yuko Machame anapambana kibarua chake cha Ubunge kisiote nyasi. Maana mpaka wachaga wenzie wameshamshtukia kuwa ni tapeli.

Mkuu naona sasa hiv mnatetea vyama viwili,je malipo ni yale yale au yameongezeka??
 
7000/2 =3500 uvCCM KAZI mnayo
 
Hakuna aliyemtenga ila hakuaminika na kwa tabia sake,alikuwa hashirikiani na watu now anafeel ujenzi wa chama ulivyo mgumu anajituma kama nesi wa zamu
akili zako fupi kama mlikuwa hamwamini yanini sasa mnakesha makada humu kumchafua.........Zitto atabaki kuwa tumaini la wanyonge daima nakupa mfano tu mbowe alijidai kukataa kuchukua benzi la mkuu wa upinzani na kama upo update nikumbushe katika mkutano mkuu chadema mbowe alikuja na gari gani? siasa za miaka ya 1890 hazina nafasi tena ila najua upo simiyu huko ujui A wala B ila usiogope ukija mjini utaujua ukweli na kutofautisha saccos, kikao cha ukoo na chama cha siasa karibu mjini Dogo
 
katika mikutano yake nimeona picha ya iringa tu zingine ziko wapi ?
 
Ili ujue alivyo mnafki kwenye M4C hakuonekana,now kaona unga unamwagika imebidi ajitume

Wakati wa M4C alikuwa bize na ziara za ughaibuni na mkuu wa kaya...leo anasema marekani yake ni vijijini, siasa ni si hasa.
 
Akitafuta wafuasi

Smells like from computer era to Luddism!!!! the boy is an unchallenged master at regressing and digressing..will go backward till he fades completely from the picture...thought he could fart higher than his ass eeh?
 
Back
Top Bottom