Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,655
- 8,590
manuel neuer anastahili...! Makipa wanaonewa sana kwenye hizi tuzo bora kabisa za soka duniani..
toa vigezo vya kustahili kwanza siyo unapayuka payuka tu

fifa wachakachuaji tu,wakati ronaldo anaongea upigaji unaendela,messi hajaongea wameshafunga upigaji kura

Coz washapanga mshindi
hahaha...
ivi awa wanaochaguliwa kuingia kwenye kikosi cha mwaka cha Fifa wana zawadi yoyote wanapewa individualy ama ni kutajwa tu???

Ronaldo alikuja bagamoyo kimyakimya
wamepewa zawadi
Ujiko tu mkuu...