Kwenye FIFA best 11, hakuna mwingereza hata mmoja.....
Ndiyo waone kuwa mpira wao ni wa kwenye media tu!
Ronaldo ndo.mshindi leo.
Hata iweje FIFA hawawezi kosea leo na kujipaka Mavi kwa kuto mpa Ronaldo
Kwenye FIFA best 11, hakuna mwingereza hata mmoja.....
Ndiyo waone kuwa mpira wao ni wa kwenye media tu!
tukiondoa siasa kura yangu ni kwa Manuel Neuer...
Kwani na wewe umepiga kura?